Question

Question

joel elias

Member
Joined
Jul 21, 2019
Posts
34
Reaction score
14
Jaman wakuu naombeni msaada kama kuna mtu yeyote aliyesoma koz inaitwa project planning anielezee kdg ubora wake na soko piah maana nmechaguliwa hyo lakin sijawa exposed sana juu ya hyo koz msaada plz
 
Enzi hizo wakati mashirika ya kimataifa yanafanya kazi na tanzania hii kitu ilikuwa na soko sana. But sasa Imedorola. Lakini iko poa
 
Back
Top Bottom