Nani kakudanganya kuwa ni waaminifu? acha kudanganya watu, yaani sisi tunaoishi nao ndio tunawajua vzr wanapenda sana chini sio pole pole, labda sijui unazungumzia uaminifu gani
Teh ila kwa wasukuma wengi Wanajitahidi mno hilo eneo (sio wote usije ukanidondokea kwa presha hapa) . Kama ambavyo tunasema wengi wao wanajua kupenda, basi wapo na ambao ni makauzu hatareee. I LOVE IS WASUKUMA
c.c atoto