dear Viva89,am on that on to the next one part jamani ila i have a question kwa wale ambao wamehawi kudate or wanadate or wameolewa na wasukuma, is it true kwamba they are great lovers...maoniii anyone, hata kwa wale ambao wameobserve tu, naombeni characteristics zao
Best lovers on this universe, lakini vichepuo vya hapa na pale ni kawaida kwao. Ila kupendwa, kudekezwa, kuhongwa hadi utakimbia mwenyewe.
Ng'wana Lemi, kanzungu nkoyi.
tatizo la wanawake ni kututesa sisi wapole, hata huwa sijui mnataka nini? ukimpata mkorofi na mwenye amri unaona tatizo, ukimpata huyo mpole badala ya kumheshimu na kumpenda ndo unageuka mtesaji. saikolojia ya wanawake ni ngumu sanaThey are so romantic ... Jitahid kumheshimu, kumpenda, uaminifu utakula mema yake sometimes ni wapole hadi kupitiliza
Am on that on to the next one part jamani ila I have a question kwa wale ambao wamehawi kudate or wanadate or wameolewa na wasukuma, is it true kwamba they are great lovers...maoni anyone, hata kwa wale ambao wameobserve tu, naombeni characteristics zao.
tatizo la wanawake ni kututesa sisi wapole, hata huwa sijui mnataka nini? ukimpata mkorofi na mwenye amri unaona tatizo, ukimpata huyo mpole badala ya kumheshimu na kumpenda ndo unageuka mtesaji. saikolojia ya wanawake ni ngumu sana