Question Of The Day:Which One Would You Rather....................

Hapana, hiyo siyo hello.

Ni 'hujambo?'

Kwa hiyo, kama ni kutafsiri kwa Kiingereza, 'kinehe, ulimhola?' = 'hello, how are you?'

kuna ile in-sound kama "magalagawiza wiza duu!" tafsiri yake ni nini?
 
Heaven on Earth
Naweza nikachagua "A" if and only if mume wake amefariki, na pia hajafariki na ugomjwa wa kuambukiza.
Baby daddy akiwa hai huwa mawasiliano na mwanamke hayaishi kwa kusingizia wanaongea mambo kuhusu watoto. Hili tatizo limewakumba wanaume wengi mno. Na misimamo ya wanawake huwa inayumba sana, anachojibu NO leo ukimuuliza kesho yake anajibu YES.

Naweza kuchagua "B" if and only if project yangu ninayoifanya sasa hivi itafanikiwa, actually najaribu kumfanya samaki aweze kuishi nje ya maji kama kenge na mijusi.
 
Last edited by a moderator:
No, kama ametumika sana ni no. nachukua huyo mwenye watoto.
 
No, kama ametumika sana ni no. nachukua huyo mwenye watoto.

hahahaaa ushaambiwa "she has slept with half the men in your city" lazima awe katumika kisawa sawa

Niko break narudi kwenye ile kitu tena nimechokaje hapa
 

A good girl with children ..........!!!
 
Yaani true lovers utawajua tu.....when you love someone nothing else matters,its so simple!
 
inategemea
kuna wengine (mi nawajua wanaume wa 4) wanawake ndo walizingua ....somtym sisi wadada noma sana

Atleast ikiwa mara moja naweza nikaiconsider!
Sasa hii.....wa kwanza waachane, wa pili waachane, na mie nae ndo nikazibe pengo??? Sipendelei kwakweli!

Kuna mengi ya kufikiri kiukweli!
 
I GO FOR A DESCENT WOMEN,watoto tutalea pamoja,as long as i love her....i will love her children too,na atanizalia wangu pia!
HELL NO to the -----/slut,mi sioi alie na history scary kama hiyo,sex with half men in the city!!! plus my two best friends!!!? oh boy,not a wife material at all! she is cheap..and that sucks,RUN AWAY LIKE HELL 🙁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…