Queen Sono another stupid TV series...

KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
5,731
2,000
labda huo upuuzi ndio uzuri wa hio series...

inategemea unapenda genre ipi/zipi..., anyway binafsi vitu ambavyo havina logic (na hapa logic ninamaanisha logic ya kwenye set-up ya maudhui yenyewe) sio character building inatengeneza mtu ambaye anaweza aka-detect uongo hata kabla mtu hajafungua mdomo...., alafu ALAS!!!! mwishowe anakuja kudangangwa na uongo ambao hata mimi layman ningegundua....,
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
57,157
2,000
Hizi ndio series bora kwangu za muda wote hasa hiyo iliyopo namba moja
Naam kwa sasa umeiweka vizuri...

Mimi haya mavitu nimetazama mengi kiasi kwamba hata huwa sina namna ya kutaja ipi bora kuzidi nyingine..

Isipokuwa naweza tu kutaja list ya zilizo miyeyusho, yaani unakuta inaanza vizuri halafu ikifika seasons kadhaa mbele inaanza kuboa, watengenezaji ni kama wanakuwa wanalazimishia tu urefu wa season...

Mathalani, binafsi nadhani Lost ilikuwa nzuri S01 hadi S03, au The 100 hii hizi seasons mbili za mwisho ni kama wamelazimishia tu. Naiona pia The Walking Dead ikielekea huko huko, maana jamaa wana mpango wa kuendelea na season 11
 
Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,774
2,000
Ningependa nudity ningekutajia za namna hiyo. Nadhani rome hujawahi iona.

Mzee hadi Rome umeweka kaa series kali au ulipenda Nudity..ni kweli moja kati ya series bora Breaking Bad ipo na nimeitazama nimeielewa. Lakini bado hizo nilizoorodhesha zitabaki kua bora hafu ndio ifate Breaking bad..
Series bora niile ukiangalia unapata tamaa ya kuona episode inayofuata
 
Munamuge

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
717
1,000
Niliangalia hii siku moja, kwanza inavyoanza inachanganya ni kama vile yule dada ndiye Sono mwenyewe, nikahisi alifoji kifo. Baadae tena naona kwenye maombolezo anaenda kabulini kumuombea Sono, kwa kifupi inaboa na haivutii kuifuatilia.
 
Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,774
2,000
Napoangalia series naangalia
1. Uhalisia
2. Maudhui
3. Characters
Series ikiwa ya kipumbavu ikakosa uhalisia....yaani uongo ambao hauna logic inanikwaza sana. Sterling anapopewa uwezo wa kupitiliza naona pia ni ujinga kwangu. Series ambayo naweza itabiri kirahisi pia huwa naona ni upuuzi to watch

labda huo upuuzi ndio uzuri wa hio series...

inategemea unapenda genre ipi/zipi..., anyway binafsi vitu ambavyo havina logic (na hapa logic ninamaanisha logic ya kwenye set-up ya maudhui yenyewe) sio character building inatengeneza mtu ambaye anaweza aka-detect uongo hata kabla mtu hajafungua mdomo...., alafu ALAS!!!! mwishowe anakuja kudangangwa na uongo ambao hata mimi layman ningegundua....,
 
ruralofficer

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
2,244
2,000
Nikikua natafuta mtu atakayesifia Vikijg, ninayo complete season ila sijamaliza hata S1. Ya kawaida mno bora peaky blinders.. hakuna series inayoishinda GOT upande wa writing
Vikings haieleweki S01 lakini huko mbele ni hatari tupu: A farmer who became a king (Ragnar Lothbrok)
Hii series imejaa vitu kibao: brotherhood,betrayal,religions,kingdom,wars,love,loyality etc...

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Guru Master

Senior Member
Jan 14, 2017
176
1,000
Mmenigusa sana. Ngependa tuanzieshe group la whatsapp la Series. Kama tutaweza share series mbalimbali na kushauriana pia. Naweka namba yangu. Ili mtu anitumie text whatsapp so huna huja ya kujitambulisha huku unatumia jina gani? Napenda tuweze kushare maana mimi mpenzi sana wa series.

0768 007 085
 
Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
30,296

Anzisha group kisha weka link hapa..wadau tupo wengi. Ndio vilevi vyetu..
 
Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
30,296
2,000
Vikings haieleweki S01 lakini huko mbele ni hatari tupu: A farmer who became a king (Ragnar Lothbrok)
Hii series imejaa vitu kibao: brotherhood,betrayal,religions,kingdom,wars,love,loyality etc...

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Duuh ngoja basi nijitahidi kuangalia maana inanikatisha tamaa.. na vike hqta writing zake sio konki kama GOT
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom