Queen Sono another stupid TV series...

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,771
2,000
Nipo kwenye likizoya Uchaguzi nchi za watu. Mpaka Tanzania uchaguzi upite ndo ntarudi.

Nikiwa huku najikuta mara nyingi nataka niangalie TV series maana ndo ulevi wangu. Katka pita pita nikakutana na Queen Sono.

Ni Tv Series ya kipuuzi ambayo imeshindwa kabisa kuvalisha uhalisia waigizaji wake. Nimesikitika kupoteza muda kuiangalia na kudownload tena HD nikidhani ni Series ya maana.
 
Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,771
2,000
Hujawahi angalia series ndo maana. Huifahamu hata Breaking Bad? Huhifahamu The Carnival, Rome etc. Hizo ulizotaja ni Series za walioiga iga kuangalia series. Kwa sisi wakongwe tuna series nyingi sana bora zaidi ya hizo. Hata OZ. huhifaham... Acha wanaojua Series wakuambie.

Duniania kuna series tatu tu hayo mengine mwajisumbua...
  1. Games of thrones
  2. Prison break
  3. 24
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
16,389
2,000
Hujawahi angalia series ndo maana. Huifahamu hata Breaking Bad? Huhifahamu The Carnival, Rome etc. Hizo ulizotaja ni Series za walioiga iga kuangalia series. Kwa sisi wakongwe tuna series nyingi sana bora zaidi ya hizo. Hata OZ. huhifaham... Acha wanaojua Series wakuambie.

Mtaalam nifanyie maarifa ya season 2 Condor, Missing na The homeland.
 
Brasso

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
301
1,000
Ngoja nikupeleke China tafuta Ode to joy yenye eng subtitle utajifunza mengi sana.
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
16,389
2,000
Missing ni kali kuliko homeland, ungekua karibu ningekupatia the homeland

Missing sikubahatisha season 2 mkuu, niliona ya kwanza tu. Homeland nafikiri niliishia season 2 na yenyewe, hali kadhalika Condor nimeangalia season 1 pekee.

Shukran sana mkuu
 
Date20210317

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
3,863
2,000
Hujawahi angalia series ndo maana. Huifahamu hata Breaking Bad? Huhifahamu The Carnival, Rome etc. Hizo ulizotaja ni Series za walioiga iga kuangalia series. Kwa sisi wakongwe tuna series nyingi sana bora zaidi ya hizo. Hata OZ. huhifaham... Acha wanaojua Series wakuambie.
Nilivyosoma hiyo list yake akil ikarud faster mpaka kwenye breaking bad.Nikaishia kumsikitikia tu. Bonge ya kitu breaking bad
 
Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
30,228
2,000
Ungeandika tu kuwa hizo ulizotaja ndizo ulizo na mahaba nazo...

Sitaki kuamini kuwa hujatazama tamthiliya nyingi zaidi ya hizi...
Hizi ndio series bora kwangu za muda wote hasa hiyo iliyopo namba moja
 
Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
30,228
2,000
Nilivyosoma hiyo list yake akil ikarud faster mpaka kwenye breaking bad.Nikaishia kumsikitikia tu. Bonge ya kitu breaking bad
Hujawahi angalia series ndo maana. Huifahamu hata Breaking Bad? Huhifahamu The Carnival, Rome etc. Hizo ulizotaja ni Series za walioiga iga kuangalia series. Kwa sisi wakongwe tuna series nyingi sana bora zaidi ya hizo. Hata OZ. huhifaham... Acha wanaojua Series wakuambie.
Mzee hadi Rome umeweka kaa series kali au ulipenda Nudity..ni kweli moja kati ya series bora Breaking Bad ipo na nimeitazama nimeielewa. Lakini bado hizo nilizoorodhesha zitabaki kua bora hafu ndio ifate Breaking bad..
Series bora niile ukiangalia unapata tamaa ya kuona episode inayofuata
 
Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
30,228
2,000
1. Person of Interest
2. Breaking Bad
3. Lost
4. Grim
5. The Strain
6. Gangs of London
7. Queen of the South
8. The walking dead
9. Power

Series zipo nyingi sana, na zote kali.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Daah mkuu Power mwaipendea nini? Naona series zanye nuditu mnaziaifia sana. Hiyo lost ndio hovyo kabisa.. Umeona hii ya kikorea inaitwa 3day
 
Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
8,449
2,000
Daah mkuu Power mwaipendea nini? Naona series zanye nuditu mnaziaifia sana. Hiyo lost ndio hovyo kabisa.. Umeona hii ya kikorea inaitwa 3day
Hapo tuna fall under something called "self priority"

Surving series na drug dealers series, kwangu huwa nazipa kipaumbele sana.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Date20210317

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
3,863
2,000
Mzee hadi Rome umeweka kaa series kali au ulipenda Nudity..ni kweli moja kati ya series bora Breaking Bad ipo na nimeitazama nimeielewa. Lakini bado hizo nilizoorodhesha zitabaki kua bora hafu ndio ifate Breaking bad..
Series bora niile ukiangalia unapata tamaa ya kuona episode inayofuata
Pamoja..
Ofcz nachukia sex ikiwa too much.iwepo kisela tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom