Kwani credit kitu gani bhana......we weka udhibitisho,kisha uone kama sijampa ili mradi iwe kweli tu,haya niwekee udhibitisho hapa kwamba kiba alimsaidia Darlin kwa kuimba au kwa kumuandikia .......??Huhitaji clip kujua kama Darleen alisaidiwa na Kiba miaka ile unless kama una kitu against Kiba hutaki kumpa credit anazostahili
Wimbo wa Darleen ft Kiba.Kwani credit kitu gani bhana......we weka udhibitisho,kisha uone kama sijampa ili mradi iwe kweli tu,haya niwekee udhibitisho hapa kwamba kiba alimsaidia Darlin kwa kuimba au kwa kumuandikia .......??
Mkuu inaelekea kipindi hicho hukuwepo au kama hukuwepo ulikuwa hufuatilii ndo maana unaulizia vitu ambavyo viko wazi. Anyway labda tu nikuambie kuwa hiyo clip sina lakini kipindi hiyo ngoma inatoka around 2007 katika moja ya interview alizowahi kufanyiwa kipindi hicho Darleen alikiri kuwa Kiba alimpa tafu sana katika kuandaa hiyo ngoma, yeye alikuwa na idea kaipeleka kwa Kiba wakakaa na kuanza kuandika hiyo ngoma. Hilo neno unanihanda kama sijakosea alisema alilisikia Uganda.Kwani credit kitu gani bhana......we weka udhibitisho,kisha uone kama sijampa ili mradi iwe kweli tu,haya niwekee udhibitisho hapa kwamba kiba alimsaidia Darlin kwa kuimba au kwa kumuandikia .......??
Basi poa kama umekubali kuwa udhibitisho wa hiyo clip HUNA,haya kazi njema na siku yako iwe ya amani na baraka tele.Mkuu inaelekea kipindi hicho hukuwepo au kama hukuwepo ulikuwa hufuatilii ndo maana unaulizia vitu ambavyo viko wazi. Anyway labda tu nikuambie kuwa hiyo clip sina lakini kipindi hiyo ngoma inatoka around 2007 katika moja ya interview alizowahi kufanyiwa kipindi hicho Darleen alikiri kuwa Kiba alimpa tafu sana katika kuandaa hiyo ngoma, yeye alikuwa na idea kaipeleka kwa Kiba wakakaa na kuanza kuandika hiyo ngoma. Hilo neno unanihanda kama sijakosea alisema alilisikia Uganda.
Nawe pia amani na baraka zikufikieBasi poa kama umekubali kuwa udhibitisho wa hiyo clip HUNA,haya kazi njema na siku yako iwe ya amani na baraka tele.
Ni kweli anaonekana alipania sana niliona ht zile picha cha kuuza tiketi kweli alipania sidhani kama alilala wiki kabla ya tukio.Show yake ya kwanza toka miaka kumi nyuma lazima apanie
Labda kama we hujui au ulikuwa chekechea ni kweli kabisa tena walikutana na Kiba mahali kwenye mambo ya kutafuta kurekodi ndio binti akapata idea ya kuimba huo wimbo.Hata kama humpendi Kiba lkn huo ndio ukweli.Tuwekee hiyo clip akikiri kuwa alipewa msaada na kiba,kinyume na hivo we ni mzushi tu.
Hhhaha usingizi wa mawenge mawengeNi kweli anaonekana alipania sana niliona ht zile picha cha kuuza tiketi kweli alipania sidhani kama alilala wiki kabla ya tukio.
Bomboclat!
Katika ubora wake
NDIO MAANA KING KIBA ALIMPIGA KIBUTI KUMBE NI MSHENZI MSHENZIWajua nakupendaaa ila unaniadaaa
Wajua ukinishika tetemesha roho unairusha pagawisha
We nawe umetokea wapi .......Subiri isimame ndio udandie,sio kabla haijasimama hutofaidi mtoto wakike. Kukuonyesha kuwa umedandia,fuatilia malumbano yetu na huyo jamaa,kisha ndio utajua tatizo liko wapi ......Kisha wewe malizia alikoshindwa huyo jamaa.Labda kama we hujui au ulikuwa chekechea ni kweli kabisa tena walikutana na Kiba mahali kwenye mambo ya kutafuta kurekodi ndio binti akapata idea ya kuimba huo wimbo.Hata kama humpendi Kiba lkn huo ndio ukweli.
Peleka chuki zako huko una kazi ya kusambaza chuki kwa Kiba alikufanya nini? waache vijana wafanye kazi na maisha yao sie wazalendo tunawapenda wote hatuna sababu ya kumchukia yeyote.We nawe umetokea wapi .......Subiri isimame ndio udandie,sio kabla haijasimama hutofaidi mtoto wakike. Kukuonyesha kuwa umedandia,fuatilia malumbano yetu na huyo jamaa,kisha ndio utajua tatizo liko wapi ......Kisha wewe malizia alikoshindwa huyo jamaa.