Queen Darleen buana..

by the way ilikuwa beach party
 
Queen darlin na kiba nani mkongwe kwenye game
Akikupa jibu sahihi nishtue,maana tokea yaanze kufuata mkumbo wa kumshabikia kiba,basi kila kitu wanadandia hata wasivovijua ili mradi na yenyewe yamekomenti.
 
Mbona kama jibibi flani hivi ukimuangalia kwa huku nyuma. Alafu hapo et yupo na kaka'ke au mdogo MTU. Fedheha hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…