The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
He! Gbagbo anang'ang'ania madaraka kwa kuwa anajua atasaidiwa na viongozi wapendao suluhu nyepesi kwa kuunda serkali ya umoja wa kitaifa. Demokrasia ya namna hii Afrika haitufai. Kina Gbagbo wakubali matokeo, waheshimu maamuzi ya wapiga kura.Alassane Quttara, ambaye alitangazwa na tume ya uchaguzi ya Ivory Coast kuwa mshindi wa mbio za kiti cha rais, anaongoza taifa hilo akiwa kwenye chumba cha hoteli chenye uwezo wa kuhifadhi dawati moja kutokana na rais anayemaliza muda wake kung'ang'ania madaraka ikulu.
Utawala wa Quttara umechukua ofisi ya meneja wa hoteli amabyo ina mashine na faksi inayotumika kuwasiliana na balozi za nje, viwanja vya mchezo wa gofu vilivyo jirani na hoteli hiyo vinaweza kugeuka kuwa kambi ya askari walioasi kutoka kwenye jeshi linalomtii gbagbo.
My take:Hali hii itaendelea hadi lini huu ung'ang'aniaji wa madaraka kwa marais wa afrika.
He! Gbagbo anang'ang'ania madaraka kwa kuwa anajua atasaidiwa na viongozi wapendao suluhu nyepesi kwa kuunda serkali ya umoja wa kitaifa. Demokrasia ya namna hii Afrika haitufai. Kina Gbagbo wakubali matokeo, waheshimu maamuzi ya wapiga kura.
Hivi hii ni laana kwa waafrika au ni tamaa tu ya madaraka,kumbe hakuna haja ya kupoteza pesa na muda mwingi kwa ajili ya uchaguzi.Tena hawa ndugu wamefanya uchaguzi mara mbili,hiyo pesa si ingefanya kazi nyingine za kuinua maisha ya wana Ivory coast
Viongozi wataanza kuwafikiria wananchi saa ngapi wakati wanataka kuneemesha matumbo yao kwanza si ajabu ukasikia serikali ya mseto maana ndio imeishakuwa dili siku hizi Afrika yaani kwa sasa Ivory Coast inaongozwa na marais wawili madaraka matamu sana na muda wako ukiishia unaachia huku roho inakuuma
there is always a simple solutions kwa mtu kama Gbagbo - one bullet in his head or poisoning him (sorry)
Watu wanangángánia madaraka utadhani watazikwa nayo.....selfish personalities....aaarggghhhhhh:redfaces::redfaces::redfaces:
Du nimeona ikulu ya Ivory Coast ina ukuta gereza la Ukonga linasingiziwa,si ikulu ila ni gereza,tofauti na ikulu yetu ambayo unaweza hata mkulu akinywa chai sebuleniAlassane Quttara, ambaye alitangazwa na tume ya uchaguzi ya Ivory Coast kuwa mshindi wa mbio za kiti cha rais, anaongoza taifa hilo akiwa kwenye chumba cha hoteli chenye uwezo wa kuhifadhi dawati moja kutokana na rais anayemaliza muda wake kung'ang'ania madaraka ikulu.
Utawala wa Quttara umechukua ofisi ya meneja wa hoteli amabyo ina mashine na faksi inayotumika kuwasiliana na balozi za nje, viwanja vya mchezo wa gofu vilivyo jirani na hoteli hiyo vinaweza kugeuka kuwa kambi ya askari walioasi kutoka kwenye jeshi linalomtii gbagbo.
My take:Hali hii itaendelea hadi lini huu ung'ang'aniaji wa madaraka kwa marais wa afrika.
du nimeona ikulu ya ivory coast ina ukuta gereza la ukonga linasingiziwa,si ikulu ila ni gereza,tofauti na ikulu yetu ambayo unaweza hata mkulu akinywa chai sebuleni
there is always a simple solutions kwa mtu kama Gbagbo - one bullet in his head or poisoning him (sorry)
we jamaa una akili sana...hapa afrika bila ya kuanza kuua hawa watu hii kirusi ya kung'ang'ania madaraka mpaka mseto itatumaliza...ukiua wawili watatu wenyewe wataogopa na kuanza kuheshimu demokrasia..ua tuu iwe kiutaratibu unaoeleweka au kimafia..i hate these people and am convinced that we now need some lethal kind of action to silence these muther****ers of gbabo type...
:amen: quraan + voodoo= mcha mungu! :A S thumbs_down:Naogopa sana... mara nyingi tunachukua muda mwingi kujadili habari zilizopotoshwa. Nimezungumza na jamaa wawili kutoka Ivory Cost, wanasema kuwa media inatumiwa na west countries kuuhadaa ulimwengu. Quattara hajashinda hata kidogo, bali kilichofanyika pale ni attempt ya kupindua serikali katika mchakato wa uchaguzi.
Mwenyekiti wa Electoral Commision alitekwa na kulazimishwa kumtangaza Quattara kama mshindi. Sasa hivi huyo jamaa Chaiman of the Ivory Cost Electoral Committee na familia yake hajulikani alipo. Inakisiwa yupo kwenye hiyo hotel ambayo Quattara yupo, UN nao wapo hapo, waasi wanakaa kwenye hotel hiyo ya ki-Faransa.
Amenipa maelezo mengi na ya kutisha sana kiasi sina muda kuya post yote. Anasema France ndio wanaovuruga nchi hiyo. Wamejaribu kumpiga risasi kama unavyopendekeza lakini mara zote walishindwa. Jamaa ni mcha Mungu ile mbaya, na anafunga mwezi mzima akiomba ulinzi kutoka kwa Mungu. Ndege za Wafaransa zilikuja kupiga mabomu kwenye makazi yake lakini hawakuona nyumba yake bali waliona watu wenye nguo nyeupe wengi sana. Hivyo wakashindwa kupata target ya nyumba yake.
Sasa hivi ECOWAS, AU, UN wamemlaani Gbagbo kama ameng'ang'ania madaraka kinyume cha matakwa ya wa Ivory, lakini wana Ivory Cost wameandamana huko France kupinga kile kinachofanywa na huyo colonial master kupindua ukweli wa mambo. Bunge la France limegawanyika juu ya tukio hilo. Huko nyumbani Ivory Cost karibu nchi nzima, machief wa makabila yote wameweka msimamo wao kwamba wakimchagua Gbagbo kuwa rais na sio Quattara.
Kwahiyo jamani, tufanye uchunguzi ili tuusemee ukweli na siyo uzushi, no research no right to speak... sio kweli kuwa mara zote incumbent leader ndiye anaye rig election kwani this time round Quattara (the opposition leader) ndiye amefanya mchezo mchafu na akisaidiwa na mafia!