Quantity Surveyor Looking for Job

banalunda

JF-Expert Member
Jul 3, 2012
231
66
Wakuu habari za majukumu, mimi ni kijana Qulified in Quantity Surveying field yaani cost estimator and building economist kwa ujumla kwenye building construction industry. Natafuta kazi kwenye kampuni za building contractors na building consultant firms. Mwenye nafasi au namna yoyote ya kunisaidia natanguliza shukrani zangu kwenu wote wakuu.
 
Wakuu I am looking forward to hear from you, nahitaji msaada kwenye hili wakuu.
 
kwanza umemaliza lini wa kike au kiume unaweza mambo ya site ni pm experience yako kwenye kumanage hizo project
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom