wakuu nakuja mbele zenu nikiwaomba mnisaidie ni aina gani ya digital camera ni nzuri. Ili nitakapo enda dukani nisiingie mkenge.
pamoja na hilo si vibaya mkiweka na bei ya camera hiyo.
..........
msaada.wenu ni muhimu kwasababu nimeshawah kuingia mkenge kwa kununua camera.ya samsung.imeandikwa 12mp na hapohapo ikiwa na picha mbovu, zilizozidiwa na hata simu yangu.

Mpendwa nakutakia heri na uprofeshnoo muruwa Chukuwa Nikon D3000 au D3100 au D5100 Nikon ni bora bei nzuri ninafananisha na BMW gari la wakubwa... ila kama unauwezo zaidi chukua Canon EOS600 more expensive !!
mimi nliipata mlimani na pale B.Mkapa tower zipo.
Weekend njema.
- Kwa matumizi ya kawaida ya kamera hii hapa inakufaa
​
Sony 14.1MP TSH 168.000 /-
Sony Cyber-Shot W610
Digital Camera type - Ultracompact
Resolution - 14.1 megapixel
Lens System - 4 x x Zoom lens
Optical sensor size - 1/2.3"
Optical sensor type - Super HAD CCD
Image stabilizer - Electronic (Steady shot)
Memory - 4GB Micro SD
Price:
US$ 105,-
TSH 168.000,-
asante naona umeweka na bei kabisa ni unauza au!?
asante hao diacountkubwa niliwapigia jana wakaniambia zimeisha hizo sony
Mkuu kama unataka kununua camera nunua products zilizotoka kwenye makampuni ya kutengeneza camera,Uta enjoy,mfano canon,Nikon,Fuji,ila hizi Sony,samsung hamna kitu,ndio ushauri wangu huo mkuu.
thanks kwa ushauri mzuri
Afro-Arabica Unaweza kuainisha na bei za kila CameraMpendwa nakutakia heri na uprofeshnoo muruwa Chukuwa Nikon D3000 au D3100 au D5100 Nikon ni bora bei nzuri ninafananisha na BMW gari la wakubwa... ila kama unauwezo zaidi chukua Canon EOS600 more expensive !!
mimi nliipata mlimani na pale B.Mkapa tower zipo.
Weekend njema.