Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,748
Vyuo vyote punguza jazbaWanajamvi salaam!
Tokea mwaka jana kumekuwapo na pesa kiasi cha shilingi 20000 huwa tunalipishwa kwa kila mwanafunzi inaitwa quality assuarance. Mwaka jana baada ya serikali ya wanafunzi kufuatilia tuliambiwa ni pesa ya TCU.
Naombeni kujua kama vyuo vingine vinalipa hii kitu au ni UDOM peke yake na je inawezekanaje TCU iendeshwe kwa pesa zetu ina maana wameshindwa kujiendesha kwa pesa za serikali?
Ndio inalipwa kama kawaida kua mpole na kuvumilia tuWanajamvi salaam!
Tokea mwaka jana kumekuwapo na pesa kiasi cha shilingi 20000 huwa tunalipishwa kwa kila mwanafunzi inaitwa quality assuarance. Mwaka jana baada ya serikali ya wanafunzi kufuatilia tuliambiwa ni pesa ya TCU.
Naombeni kujua kama vyuo vingine vinalipa hii kitu au ni UDOM peke yake na je inawezekanaje TCU iendeshwe kwa pesa zetu ina maana wameshindwa kujiendesha kwa pesa za serikali?
Sasa kwanini iwe hivyo kwani TCU huwa hawapangiwi bajeti na serikali?Hiyo Pesa ipo vyuo Vyote Sio UDOM pekee! Ni Mkwanja Unaoingia TCU kimya kimya....
Swali ni quality assurance ya aina gani TCU wanafanya ambayo inabidi mtu alipie 20000 kila mwaka? Au ni njia ya tax collection?