St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,198
Hio kweli niliyakuta mpaka 300,000 kwa moja yanatoka muscat,Oman na Dubai nikamwambia million sitowiAbaya hutofautiana quality yapo had ya 270000
Hio kweli niliyakuta mpaka 300,000 kwa moja yanatoka muscat,Oman na Dubai nikamwambia million sitowiAbaya hutofautiana quality yapo had ya 270000
Quality zake hua nzuri sana hata Mimi abaya Kwa paki tano tatu sjafikiria Kwa keeping million n Bora ukanipa hiyo hela sio kununua abaya Kwa milionHio kweli niliyakuta mpaka 300,000 kwa moja yanatoka muscat,Oman na Dubai nikamwambia million sitowi
Nilekeze duka nimtume mtu huko aje akuungisheHapana...alikuwa sahihi kabisa kwa ulichokisema mwanzo.
Tupo K/Koo mtaa wa Narung'ombe na Sikukuu.Nilekeze duka nimtume mtu huko aje akuungishe
Yupo kajaa tele mkuu.
Tena ndiye atakayekuhudumia...
Karibu.
hahaaaa ahsante charty walah kuna jina la shemeji hapo mmmh hebu njoo ununue Abaya la MamsapAsante sana binam yake mie Nifah...haya hayaaa ngoja niwaite hawa wadada kizur kula na mwenzio cc Valentina..madam b ebu niitie evelyn salt.. hornet njoo pande hiz shost!
mashemeji zangu wa zaman nimewamis cc excel.. kiwatengu..richpol..bila kumsahau mume kipenz kibo10
Nimewaita kaka zangu wawanunulie mawifi zangu jamani!
Khaaaaa
Na bebe pia aninunulie (japo sijammention)