Quality Abayas kwa bei chee

Quality Abayas kwa bei chee

Bei rahisi sana hayo juzi ilinitoka laki 2.5 kwa Abaya 3 tu. Nilimnunulia babe
 
napita tuu ila nimeona biashara. hongera
 
Bei rahisi sana hayo juzi ilinitoka laki 2.5 kwa Abaya 3 tu. Nilimnunulia babe
Wooooow hongera zake.
Ila ma abayah hayaishi hamu...kama mimi ninayo kibao na bado hapa nayatamani.
Sio mbaya ukimuongeza matatu tena .
Yeah...bei rahisi sana.
Hii ni bei ya kiwandani/jumla.
 
Wooooow hongera zake.
Ila ma abayah hayaishi hamu...kama mimi ninayo kibao na bado hapa nayatamani.
Sio mbaya ukimuongeza matatu tena .
Yeah...bei rahisi sana.
Hii ni bei ya kiwandani/jumla.
Nikimwambia atayataka kweli lakini kunitoka laki 100,000 sasahivi mmhh ngoja nifikirie kwanza.
 
Nimemuona "mrembo" wa Trump kivazi chake kiko poa zaidi ya haya madude nadhani yanatoka KANO kwa boko haramu.
 
Nimemuona "mrembo" wa Trump kivazi chake kiko poa zaidi ya haya madude nadhani yanatoka KANO kwa boko haramu.
Uwezo wa kutafakari unapishana sana, ila kama huo ndo uwezo wako wa mwisho hatuna cha kukupa ila pole.
 
Je wewe ni mwanadada unayependa kujisitiri kisasa?
Kwako mwanaume...mwenye wake/mke na hata michepuko
Haya hapa mabaibui ya kisasa...
Ni mwendo wa kujisitiri kwa mwendo kasi.
Stara sio hadi Ramadan...
Onekana mrembo ndani ya Abayah hizi za kisasa...
View attachment 375035View attachment 375036View attachment 375037View attachment 375038View attachment 375039View attachment 375041
Tunapatikana K/Koo mtaa wa Narung'ombe na Sikukuu.
Cheki nasi kupitia namba hizi 0719 714852
Bei zetu ni rahisi...everybody can afford
Only 30k (Elfu thelathini tu)!

Wapi FaizaFoxy geniveros mwasu atoto witness j Charity Diva Beyonce
Madame S farkhina

Kaka zangu Slim5 FisadiKuu mnyepe mrangi Mbulu hizi Abaya sio za kukoswa na mawifi zangu.
Karibuni sana
BTW....I wish babe aone hapa aninunulie hilo la pink jamaniiiii
Nimelipenda sana.
Ilikuwa mzigo wa eid, ukachelewa kutoka nn.
 

Hadi nimepaliwa kwa kicheko.
Hapana mkuu,mzigo mpya huo umefunguliwa leo.
Manake ingekuwa msimu wa eid i believe bei ingekuwa two times ya hii unayoipigia debe hapa,anyway tutakuungisha.
 
Ukute dem kavaa baibui alaf anatako la Mwendokasii mashalaah..m napenda yani
 
Back
Top Bottom