Mtihani wa Qt huwa na maswali 100 yatokanayo na masomo matano kati ya kumi yatungiwayo mtihani.masomo ya lazima ni mawili yahani geography na history.mengine matatu ili kukamilisha idadi ya matano ni chaguo la mhusika.kumbuka kuna masomo hayachanganywi bali kinachofuatwa ni kutengeneza comb.mfano ukiamua kusoma art hiwezi chukua kiswahili English na physics Bali itabidi uongeze civics kama somo la tano.