wadau habari za muda huu
kwa yeyeto anayejua jinsi ya kusajili kituo cha QT naombeni anisaidie procedures!
natamani Jamii yetu ipate elimu kadri tuwezavo kuitafta!
naomba mnipe vigezo pia vinavohitajika na ngazi husika za kuzifuata juu ya swala hili..
KARIBUNI