QT center Arusha

QT center Arusha

miss ToD

Member
Joined
Dec 20, 2015
Posts
77
Reaction score
20
Habari zenu wadau naulizia sehemu ninayoweza kusoma masomo ya qt kwa mkoa wa Arusha au sehemu nitakayopata tuition nzuri ya masomo yote ya arts na sayansi.
 
zipo sehem nyingi sana, hasa maeneo ya ngarenaro shule ya tetra, kalolen opposite na kituo cha polisi kaloleni, shule ya msingi kaloleni, shule ya msingi levolosi na shule ya secondary ya arusha day kote huko unaweza kusoma
 
Asante sana @Helper mi naishi tengeru ni mgeni arusha kwa hizo ulizonitajia ipi ipo karibu kidogo na tengeru?
 
centre zote zipo mjini, watu kutoka usa na tengeru huja kusoma huku, tembelea website ya necta usajili ushaanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom