Qatar hiyoooo......arab money

Qatar hiyoooo......arab money

Pikabombz

Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
58
Reaction score
15
image.jpg
 
Kuna vizazi ambavyo vitakuja kujutia matendo ya babu zao kufuja hela! haya mafuta kuna siku yataisha, sidhani kama fuel making/producing process ni indefinite!
You have said it! Lakini pia nyakati pia hubadilika na thamani ya vitu hubadilika. Kuna wakati huko New York chumvi ilikuwa na thamani kuliko dhahabu labda huko mbele mavumbi yatakuwa na thamani kuliko mafuta......lol
 
Wenzenu wamekuwa wakijiandaa kwa hilo since the 70s. Miji Kama Dubai ina invest heavily kwenye swala la luxury tourism, Qatar foundation unaijua? Embu google. Sio kila nchi inaongozwa na ccm. Walikuwa hilo swala toka miaka ya 70!
 
hahahaaaa... i dont know what guys are always thinking to come up with such stafffff...
 
Wenzenu wamekuwa wakijiandaa kwa hilo since the 70s. Miji Kama Dubai ina invest heavily kwenye swala la luxury tourism, Qatar foundation unaijua? Embu google. Sio kila nchi inaongozwa na ccm. Walikuwa hilo swala toka miaka ya 70!

Ukisoma strategic plan ya QATAR ndio utajua kuwa yule kiongozi wao ni VISIONARY!!! Hawa watawala wetu wanasaini mikataba ya gesi upesi upesi hata kabla ya sera kuandikwa ili mradi wapate 10% na matokeo yake nchi hainufaiki na rasilimali zake sababu ya ufisadi wao!!
 
Wenzenu wamekuwa wakijiandaa kwa hilo since the 70s. Miji Kama Dubai ina invest heavily kwenye swala la luxury tourism, Qatar foundation unaijua? Embu google. Sio kila nchi inaongozwa na ccm. Walikuwa hilo swala toka miaka ya 70!

Afadhali kama wameliona hilo! CCM leo umemuona leo Makinda alivyokuwa akiendesha bunge kwa upendeleo wa wazi wazi kwa CCM! Huyu ndie CCM haswa, hopeless na kuna siku atahukumiwa!
 
You have said it! Lakini pia nyakati pia hubadilika na thamani ya vitu hubadilika. Kuna wakati huko New York chumvi ilikuwa na thamani kuliko dhahabu labda huko mbele mavumbi yatakuwa na thamani kuliko mafuta......lol
With advancement of science and the esclating prices of fuel, I believe the Western world (perhaps and other parts of the world) will make a substitute in the engine combustion systems one day!
 
Back
Top Bottom