Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,988
- 22,379
- Thread starter
- #41
Unae mtu wa afya best???Nimesoma nimeelewa..niko tayari mkui
Unae mtu wa afya best???Nimesoma nimeelewa..niko tayari mkui
Vipi ushatuma maombi kaka???Daaaahh, huu ubusy wa nyungu unanifanya nichelewe kupata habari mujaarabu kama hizi...
Wewe umepata mkuu???Offer imeisha tayari, kila nchi imeshajaa.
Kila anayeingiza taarifa anaambiwa promo code for your country have already been finished, try again after refresh at Qatar GMT May,18 2020 Qatar time.
Unae mtu wa afya best???
Adimu sana boss wanguNakusalimu tu
Nimekosa, inaonekana kila nchi inaidadi waliyopewa ila tangazo halisemi hivyo.Wewe umepata mkuu???
Bado naresume CV mkuu, si unajua tena Sayansi ya Nyungu imeniongezea upana wa CVVipi ushatuma maombi kaka???
Mtakumbukwa mkuu muda wenu ukifikaKina sie madalali wa vyumba sijui tutakumbukwa lini aisee!
Duh!Ndo huyo@Ngariba ! Dah tumeikosa
....@Omerta njoo pand hizi tumechoka kukaa bongo!
Mfungo tu bossAdimu sana boss wangu
Yeah hawakusema mkuuNimekosa, inaonekana kila nchi inaidadi waliyopewa ila tangazo halisemi hivyo.
Thanks mkuu.Ndege yao ina huduma nzuri specially A380
Entertainment movie za kutosha na ni big screen.hongera
Pamoja bestDoh huu uzi nimechelewa kuuona. Ila nilishakujibu kule shukrani sana kwa taarifa.
Niko poa kabisa, sijui weye?Hahaha how are you doing lakn
🤣🤣🤣🤣Mtapanda mahindi tu, maana hakuna namna.
Sitokusahau br!katika maisha yangu