Qatar Airways yamwaga offer kwa wafanyakazi wa sekta ya afya duniani kote. Changamkieni fursa hii maana Deadline ya kutuma maombi tarehe 18th May 2020

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
9,589
2,000
Qatar Airways imeamua kumwaga offer ya ticket 100,000 kwa wafanyakazi wa sekta ya afya duniani kote. Offer hii ni strictly na special kwa wafanyakazi wa sekta ya afya tu na ticket hizo zimekuwa allocated kwa mataifa mbali mbali japo idadi ya kila taifa haijawekwa public, huku wafanyakazi hao wakiruhusiwa kuchukua partner mmoja kwenye safari hiyo.

Kufanya maombi ya offer hii kunafikia tamati kesho tarehe 18th May 2020 kwa hiyo yamebakia masaa machache tu kwa wadau kutuma maombi yenu.

Pindipo utakapochaguliwa basi utatumiwa code ambayo wakati wa ku-book utaitumia, kupitia offer hii utalipa tu taxes na fees involved ambacho ni kiasi kidogo sana cha fedha.

Offer hii unatakiwa uitumie not later than 10th December 2020 na mfanyakazi huyo wa sekta wa afya atatakiwa kufika na kitambulisho chake cha kazi (original) pamoja na document nyengine husika wakati wa "chack-in" na failure to do so will disqualify that particular health work and his/her partner altogether.

Baada ya kupata taarifa hizi mimi binafsi kupitia mama chanja (mfanya kazi wa sekta ya afya) nikafanya maombi na kufanikiwa kupata code ambayo ndio tutaitumia ku-book holiday yetu.

Nipo katika mchakato wa kutafuta sehemu ya kwenda ikiwemo Jordan of course japo either way mwaka huu tayari ninayo safari ya Jordan na ticket nishabook tayar kabla ya offer hii (ambayo nitai-postpone mpaka mwakani).

Nimejaribu ku-book trip to scandnavia na kwa watu wawili kupitia offer hii nitatakiwa kulipa $181.78 tu ambayo ni less than 420,000 TZS

WhatsApp Image 2020-05-17 at 12.43.36.jpeg


Wadau, mambo ni mengi muda ni mchache. Fuatilieni hii offer maana you wont get air ticket as cheap as this (relatively).

NB: Kama huna mtu wa afya fanya fasta ku-date na Mwifwa ili akuchkue.

Kindly assist in proposing a country that we should visit because we still have months to use this offer.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom