connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 1,736
- 2,297
Na Burundi piaJapo hawatui Rwanda
Na Burundi piaJapo hawatui Rwanda
Eni
Emirates wazee wa hizo kazi. Wanarusha B777 au Airbus 380 route Zote dunian
Ndege Ni Emirates hao wengine Tia maji Tia maji. Kuna Cathay na Singapore Ila hawafiki bongo
A380 zinayok sokoni ? Kwa nini jomoni ? Mbadallaa wake ?
Daaaa basi sawaaa....itabakia A350Gharama za matunzo ni kubwa sana kulinganisha na faida.
Binafsi napenda A350-1000
Haiji washenzi wale wanaishia kwao then mnafaulishwa kwenye vindege chakavu siti zimebana hamna chochote humo utakutana na wavaa kobazi wamejaa wanaongea km wako kariakoo wana mifuko ya maandazi kabisa na tende za kula njiani.A380 sidhani kama inakuja Tz
Extremely expensive to operate. Kumbuka hii ilikuwa ni jibu la Airbus kwa Boeing 747 - mfalme wa anga wa miaka na miaka 👇A380 zinayok sokoni ? Kwa nini jomoni ? Mbadallaa wake ?
mkuu kumbe umepiga ruti ivoQatar Wapo vizuri sana kuliko Emirates. Ndege inavutia sana ndani halafu siti zake pana kidogo kuliko za Emirati.
Nilipanda airbus A350 kutoka Doha mpaka Houston masaa 15
Ilikua experience nzuri
Yessir. Lazima kidogo utoke kusafisha machomkuu kumbe umepiga ruti ivo
Umepata bahati ya kupanda A350, usiombe kupanda Boeing 777 ya Qatar, viti ni vidogo kwa safari ndefuQatar Wapo vizuri sana kuliko Emirates. Ndege inavutia sana ndani halafu siti zake pana kidogo kuliko za Emirati.
Nilipanda airbus A350 kutoka Doha mpaka Houston masaa 15
Ilikua experience nzuri
May be ulipata experience mbaya! Kwa uzoefu wangu nimeshasafiri na mashirika ya ndege zaidi ya matano, Emirates, KLM, Delta Airlines, Rwanda Air etc.Umepata bahati ya kupanda A350, usiombe kupanda Boeing 777 ya Qatar, viti ni vidogo kwa safari ndefu
airport kubwa lakini huduma sio za kuridhisha,
sitoipanda Tena Qatar Airways nipo tayari kuwapa Ethiopia pesa yangu kuliko Qatar, ukiwa na pass ya Tanzania ndio kabisa huthaminiwi,
itakuwa chaguo la mwisho kuchagua Qatar, simshauri mtu kusafiri na Qatar airways
Hata Mimi Qatar naipenda sana,poa zile Boeing 777 zao zipo vizru mbona.May be ulipata experience mbaya! Kwa uzoefu wangu nimeshasafiri na mashirika ya ndege zaidi ya matano, Emirates, KLM, Delta Airlines, Rwanda Air etc.
So far Kwa experience yangu nimeona KLM na Qatar Wapo vizuri zaidi.
Qatar wana ndege mpya na pia rangi zao zinavutia zaidi.
Pia misosi ya kutosha kwenye Qatar. Ila kiukweli ndege nzuri zote zinaanzia kwenye center zao kwenda ulaya na nchi nyengine kubwa. Bongo nyingi haziji wanaleta za kawaida.May be ulipata experience mbaya! Kwa uzoefu wangu nimeshasafiri na mashirika ya ndege zaidi ya matano, Emirates, KLM, Delta Airlines, Rwanda Air etc.
So far Kwa experience yangu nimeona KLM na Qatar Wapo vizuri zaidi.
Qatar wana ndege mpya na pia rangi zao zinavutia zaidi.
Dharau tu! Ila Waafrika weusi hatujitambuwa KABISA KUHUSU HAWA WAARABU!Hawa wamanga wanatuchukulia poa Siku ya kuondoka tulipandishwa kwenye Ngalangala (chata la Oman Air) siti mbovu, in-flight entertainment hamna, Ila Doha-New York full chuma, siku narudi nako DOHA-Dar full kangafu limepauka mpaka rangi. Hii Imekaaje?
A380 is huge! Nakumbuka mara kwanza kupanda ilikua 2016 from Dubai to JFK.Pia misosi ya kutosha kwenye Qatar. Ila kiukwelo ndege nzuri zote zinaanzia kwenye center zao kwenye ulaya na nchi nyengine kubwa. Bongo nyingi haziji wanaleta za kawaida.
Nakumbuka nililipa 800k zaidi Ili nipande A380 from Dubai tu Guangzhou and it was worth it. Ile ndege achana nayo
Ila Kuna ndege naitamani kuipanda. Boeing 747,hii ndege naitamani sana.A380 is huge! Nakumbuka mara kwanza kupanda ilikua 2016 from Dubai to JFK.
Straight 14 hours
Wengi tunatamani Sana kupanda Boeing 747, ila nahisi chances are slim. Mashirika Machache Sana Yana operate 747 kama ndege za abiria na route zao nyingi ni Asia. nadhani Lufthansa ndie operator pekee aliyebaki kwa ulaya.Ila Kuna ndege naitamani kuipanda. Boeing 747,hii ndege naitamani sana.