Qatar Airways kuongeza ruti ya kutokea KIA kuanzia tarehe 01/06/2019

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,238
Kama ATCL walidhania watabakia pekee yao kwenye biashara za usafirishaji wa anga basi walikosea sana.
Shirika la ndege la QATAR AIRWAYS linazindua route yake ya kutoka dsm kwenda Kilimanjaro kwa kuanzia na baada ya muda itaongeza na mwanza.

Nawapongeza kwa kusikia kilio cha watanzania kwa kutuongezea option kwenye usafiri.
Screenshot_20190527-174552.jpeg
 
Mbona kama umefurahi? Hivi unazo kichwani kweli wewe? Unafurahia hela kutoka hapa kwenda qatar?
Bavicha mmerogwa
We unafurahia nauli ya ndege kupanda kutoka 60,000 Mwanza-Dar ya fastjet kufikia 400,000 Mwanza-Dar kwa ATCL?

Hebu nieleweshe hapo ni awamu ipi imerahisisha gharama za usafiri wa anga kwa mtanzania wa maisha ya kawaida?

Huoni ATCL inawalenga matajiri wenye hela zao tu? Ina maana hii nchi wenye vipato vya chini hawatakiwi kupanda ndege?
 
Kama ATCL walidhania watabakia pekee yao kwenye biashara za usafirishaji wa anga basi walikosea sana.
Shirika la ndege la QATAR AIRWAYS linazindua route yake ya kutoka dsm kwenda Kilimanjaro kwa kuanzia na baada ya muda itaongeza na mwanza.

Nawapongeza kwa kusikia kilio cha watanzania kwa kutuongezea option kwenye usafiri.View attachment 1109582
Mkuu mbona umekuwa na mawenge sana! Ni connection ya Internation destination tu na si domestic!
 
Nimeamini kabisa mkuu kuwa ndani ya nchi yetu kuna watu wanafurahia wananchi waumie kisa uzalendo
We pimbi kweli kweli. Mwananchi wa kawaida anafurahia gharama za usafiri kushuka, hayo ya pesa kwenda Qatar hatuyajui, maana sijawahi kusikia kodi zetu zimeenda Qatar.
 
Kama ATCL walidhania watabakia pekee yao kwenye biashara za usafirishaji wa anga basi walikosea sana.
Shirika la ndege la QATAR AIRWAYS linazindua route yake ya kutoka dsm kwenda Kilimanjaro kwa kuanzia na baada ya muda itaongeza na mwanza.

Nawapongeza kwa kusikia kilio cha watanzania kwa kutuongezea option kwenye usafiri.View attachment 1109582
Qatar Airways wana direct route kutoka Dar es Salaam kwenda Doha, na KIA kwenda Doha. Safari ya Dar kwenda Kilimanjaro au Mwanza na Qatar Airways HAKUNA.
 
Mbona kama umefurahi? Hivi unazo kichwani kweli wewe? Unafurahia hela kutoka hapa kwenda qatar?
Bavicha mmerogwa
Biashara ushindani na ili upate wateja wengi
Kuwa na customer service bora
Vp nyie mnataka mbakiee pekee yenu

Ova
 
Naona unashindana na upepo ukidhani utaushinda.
Pole sana maana jamaa wanaanza hiyo route 1.6.2019
Qatar Airways wana direct route kutoka Dar es Salaam kwenda Doha, na KIA kwenda Doha. Safari ya Dar kwenda Kilimanjaro au Mwanza na Qatar Airways HAKUNA.
 
Yaani shida nazo ndio uzalendo kumbe?
Mmenunua ndege bei imepanda mara dufu sasa tufurahie kuchangia hela bila kujua zinaenda wapi wakti Qatar kuna unafuu? Ngoja hela ziende huko nyinyi zenu tumieni kurudia uchanguzi na kuwaachia CCM wazitumbue kijinga.

Back
Top Bottom