Wakuu,
Sasa Tumefika mbali, hadi watu tunaotegemea kuhimiza usawa, haki na amani kwenye nchi yetu nao wameanza kuwa Machawa
Hii imefika mbali wadau kama huyu ni Sheikh inamaanisha anawaongoza, kuwaaminisha na kuwataka waumini wake wake wasimame na mama Oktoba 29, 2025 siyo tena kuwa chaguo la muumini huyo ambaye ni mwananchi
Uchawa na brainwashing inaendelea
------------
Mwimbaji wa Qaswida Maalim Bahlo Ameachia Qaswida yake mpya "Tunasimama na Mama" kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan