Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.

Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
siku nyngne ukiwa na ela omba ushauri tatizo la wengi wetu ukiwa na ela unakengeuka akili na kuona wenzako wsio na ela wachawi au wapumbavu
 
wanawafundisha watu uongo ukiingia mule hata kama wewe ni mchungaji utabadilika utakua tapeli muongo mjanja tu
ndo hivo,ukienda kwenyue zile kampuni za kutafuta watu kama matawi utasikia mtu anatoa ushuhuda unajua mm kama sio forever living ningekuwa kijijini ,,ohh mimi nilikuwa Napata mshahra wa laki 1,,ohh mimi sasa hivi nimeoa na kujenga nyumba kisa kampuni hii

wachawi wengi sana
 
Kwani ulivyoingia uliambiwa utapata iyo pesa mara 2 hata kama hujafanya kazi?? Ulipitia presentation zote ukaelewa biashara au uliingiaje.....Hakuna pesa za bure hata siku moja katika Dunia hii..Lazima ustruggle ndo uipate..Kama wewe uliingia ukijua Qnet ni kama Desi au D9 kwamba unaweka pesa then unapata pesa bila kuisotea basi ulipotea njia,utaishia kusema umu kwenye mitandao kwamba Qnet ni matapeli lakini mwisho wa cku utarudi tu na utafanyakazi mana Qnet ni Life time business...Utaondoka kimwili lakini kiuhalisia bado uko...TC yako inakungoja ukaitendee haki...
Qnet sio Pyramid scheme eti waliotangulia ndo wananufaika, mfano mzuri ni kama wewe umetangulia kuingia lakini kwa sababu ya kutokuelewa biashara umeamua kutulia na kuanza kuandika ujinga kwenye mitandao, sasa kuna mwenzio ataingia kesho ataielewa biashara atafanya kazi na kugundua kwamba Qnet ndo biashara aliyotakiwa kuifanya miaka 3 iliyopita ila hakupata iyo fursa......If you look for Negativity, You will get negativity and Viceversa is true....Muwe na mchana mwema......Good morning
Jizi lingine
 
Mimi mwengewe wife kapigwa 5m. Akanishawishi na mimi kuingia. Nilishtuka mapema sana na nilileta hapa uzi kuhusu hii biashara. Ila mods baadae waliiondoa nadhani kwakuwa kulijitokeza maneno makali kwenye ule uzi

Mpaka sasa wife anaamini yupo sahihi. Na akiona nyuzi hizi anasema sisi hatuielewi qnet.
Loh wife mzigobila shaka ana makalio

Akili zao wanazijua hao
 
Dah mkuu acha tu
tunaombaga vimikopo vya laki humu jf lakini wapitaji kama hawa hua wanaangalia tu, lakini saa ya milioni 5 mtu ananunua bila shida
Na wewe umeambiwa JF inatoa mikopo? Au ndio unajitoa ufahamu? Hii nchi kuna wajinga wengi sana, humu hata majina tunatumia feki halafu unaomba mkopo. Zero kabisa
 
Na wewe umeambiwa JF inatoa mikopo? Au ndio unajitoa ufahamu? Hii nchi kuna wajinga wengi sana, humu hata majina tunatumia feki halafu unaomba mkopo. Zero kabisa
mimi sijamuelewa comments zote anazungumzia mkopo gani
 
kuna mtu namsubiria kwenye kona, nishamwambia sijui hao alliance global ni uhuni haelewi. juzi naona kajaza vifurushi vya hao jamaa chumbani kwake

anajidai mtafutaji kunizidi juzi anahangaika hana hata mia nami nimeweka vikwazo vya kiuchumi ale matunda ya alliance
Vikwazo vya kiuchumimkuu ulilegeza au uliendelea kukaza
 
Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.

Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Mwaenzio kanunua cheni naye analia. Tuchape kazi miaka hii haina ujanjaujanja na ukishitaki utafungwa na pesa imesharudi serikalini ikajenge SGR
 
Kwani ulivyoingia uliambiwa utapata iyo pesa mara 2 hata kama hujafanya kazi?? Ulipitia presentation zote ukaelewa biashara au uliingiaje.....Hakuna pesa za bure hata siku moja katika Dunia hii..Lazima ustruggle ndo uipate..Kama wewe uliingia ukijua Qnet ni kama Desi au D9 kwamba unaweka pesa then unapata pesa bila kuisotea basi ulipotea njia,utaishia kusema umu kwenye mitandao kwamba Qnet ni matapeli lakini mwisho wa cku utarudi tu na utafanyakazi mana Qnet ni Life time business...Utaondoka kimwili lakini kiuhalisia bado uko...TC yako inakungoja ukaitendee haki...
Qnet sio Pyramid scheme eti waliotangulia ndo wananufaika, mfano mzuri ni kama wewe umetangulia kuingia lakini kwa sababu ya kutokuelewa biashara umeamua kutulia na kuanza kuandika ujinga kwenye mitandao, sasa kuna mwenzio ataingia kesho ataielewa biashara atafanya kazi na kugundua kwamba Qnet ndo biashara aliyotakiwa kuifanya miaka 3 iliyopita ila hakupata iyo fursa......If you look for Negativity, You will get negativity and Viceversa is true....Muwe na mchana mwema......Good morning
Mkuu, sema ukweli. Uliweka ngapi, umevuna ngapi, umeingiza wangapi kwenye mzunguko wako na wanaendeleaje watu hao?
 
In Qnet kuna watu ambao watagrow na wengine watabakia hapo walipo ni wewe tu utakavyoichukulia hii biashara..., ukiichukulia serious itakulipa serious, ukiichukulia poa na yenyewe itakuchukulia poa...That’s all
Uliichukulia poa au serious? Miaka miwili sasa natarajia uwe milionea siyo muuza dagaa toka mwanza
 
Back
Top Bottom