Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

Qnet naomba muwe waungwana mlimshawishi mke wangu na shemeji watoe milioni 8 ambayo walinunua saa mkasema baada ya miezi 13 watapata bilioni 3.3, mbaya zaidi mkamwambia don't share the information. Yaani mnafanya siri mazungumzo, hela mke katoa lakini mnamzungusha sijui mnasema apeleke mtu mwingine tena ndo alipwe, nyie ni matapeli wakubwa na kesi iko police.

Nawapa onyo mkinishinda mahakamani naenda Gamboshi kuwaroga, nyie watu wa ajabu mlianza kwangu baada ya kunipiga porojo zenu nikawashitukia mkamdanganya mke na shemeji na hii njia yenu kutusalimia good morning hata jioni nahisi ndo njia ya kuwapumbaza watu, nawaambia io hela mtaitoa, mama yangu msukuma.
Kuna Maajabu Duniani..... Unatoa Milioni 8 ili update saa😂 ... Nafikiri akili ya Mtoa pesa ilikuwa imefunikwa na kifuniko cheusi muda huo anatoa pesa🤣😂
 
Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.

Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Ulitoaje fedha zote hizo bila hata risiti?
 
Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.

Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Weka picha tuone: isijekuwa uliuziwa mdori
 
Pole kwa wale waliotapeliwa pesa zao na Q-net. Lakini ni funzo kwa wale wenye Pesa kisha kisha wanataka mtremsho wa ma bilioni ni sawa na kubeti JERO (500). Upate MILIONI 50 (50,000000). Ni vyema kwa wale wenye pexa wawekeze ktk masoko halali ya ndani au ya nchi majirani zetu. Bora upate nusu ya Hasara kuliko kupoteza peza zako zote.
 
Niliponea chupu chupu kupigwa na hao jamaa. Mdogo wangu (dada) katushawishi mimi na wife tukawafuata pale Mwenge saa 10 mchana tukakaribishwa kwa kuamkiwa Good Morning nyingi nyingi, mara utapeli wa maneno ukaanza nikashutuka nikawaabia sichezagi upatu wa kutafuta wanachama tukabishana sana mwisho nikalazimisha kuondoka. Hadi leo mimi na dada yangu hatuongei kabisa.
 
Pole sana,
Shemeji yangu alinialika, nikaenda kuwasikiliza, Nilikaribishwa na ile ring ya utambulisho na salaam ya Good Morning, kisha nikapelekwa kwa hatua ya Elimu ya uwekezaji.
 
Mimi nilikoswa koswa na foreverliving, ila niliingia mtandaoni kuwasearch ndio nikawagomea mazima 😂😂
 
Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.

Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Mkuu unanunuaje saa mili 5? Tena hapa tz na hali yako kiuchumi hairuhusu? Watu kama nyie inatakiwa muibiwe mpaka akili ziwakae sawa.
 
Back
Top Bottom