FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,356
- 41,259
Unaniuliza mimi? Kwani mimi ndio nimeanzisha hiyo thread?Serikali ndiyo imekwambia upeleke pesahuko?
Unaniuliza mimi? Kwani mimi ndio nimeanzisha hiyo thread?Serikali ndiyo imekwambia upeleke pesahuko?
Kwahiyo unataka kusema Mange ndio amewaanika wakati hii hizi mada zipo humu JF miaka nenda rudi? Kwanza hili bandiko tu la leo limewekwa 12 11hrs, huyo mange kaweka just a few minutes later na katumia picha za humu humu,hivyo hiyo habari kaitoa humu.Bado mnazidi kutapeliwa ? Mange Kimambi leo amewaanika hao q net na amesema wazi ni matapeli ..jaman watanzania sisi ni mambumbumbu kiasi hiki?
Bora wewe milioni 8, kuna mwingine alikuja humu katapeliwa milioni 10
Nenda tu Gamboshi, hiyo hela hupati na mahakamani huwezi shinda maana hawa jamaa wanavibali, wanachokuambia ni wekeza ktk mfumo wa kununua, ukishanunua ujue umeshampa aliyekushawishi kamisheni, sasa ili upate na wewe tafuta fala mwingine umshawishi anunue ili upate kamisheni, product ya million 8 uliyokwishaichukua in a form of purchasing itawezaje kutengeneza hela for you, haiwezekeni..Qnet ideology is to fool someone then train him to fool others to earn money!Qnet naomba muwe waungwana mlimshawishi mke wangu na shemeji watoe milioni 8 ambayo walinunua saa mkasema baada ya miezi 13 watapata bilioni 3.3, mbaya zaidi mkamwambia don't share the information. Yaani mnafanya siri mazungumzo, hela mke katoa lakini mnamzungusha sijui mnasema apeleke mtu mwingine tena ndo alipwe, nyie ni matapeli wakubwa na kesi iko police.
Nawapa onyo mkinishinda mahakamani naenda Gamboshi kuwaroga, nyie watu wa ajabu mlianza kwangu baada ya kunipiga porojo zenu nikawashitukia mkamdanganya mke na shemeji na hii njia yenu kutusalimia good morning hata jioni nahisi ndo njia ya kuwapumbaza watu, nawaambia io hela mtaitoa, mama yangu msukuma.
Mke wako Katoa hiyo helaaa na hajapataa chochotee na Bado anasema yupo sahihi???? Na wew unamchekeaa????? Mna mamilioni nin mzeee au mkeo hiyo hela alihongwaaa!??Mimi mwengewe wife kapigwa 5m. Akanishawishi na mimi kuingia. Nilishtuka mapema sana na nilileta hapa uzi kuhusu hii biashara. Ila mods baadae waliiondoa nadhani kwakuwa kulijitokeza maneno makali kwenye ule uzi
Mpaka sasa wife anaamini yupo sahihi. Na akiona nyuzi hizi anasema sisi hatuielewi qnet.
Pole mkuu. Mimi nishawahi kupelekwa kule na jamaa mmoja hivi nilipofika mikocheni kwa warioba nikakuta kikundi cha watu kiukweli ni kama wapo frastrated hivi wakanizunguka na kujitambulisha nikawa na wacheki tu. Baadae nikaingizwa kwenye chumba nikaanza kupewa darasa. Wanaongea mambo ya kipuuzi nikawa hata siwasikilizi navusha tu.baadae nikambiwa nirudi kesho kuendlea na somo sijarudi wala na niliplan nikatoe taarifa kawe polisi waje wawadake.Qnet naomba muwe waungwana mlimshawishi mke wangu na shemeji watoe milioni 8 ambayo walinunua saa mkasema baada ya miezi 13 watapata bilioni 3.3, mbaya zaidi mkamwambia don't share the information. Yaani mnafanya siri mazungumzo, hela mke katoa lakini mnamzungusha sijui mnasema apeleke mtu mwingine tena ndo alipwe, nyie ni matapeli wakubwa na kesi iko police.
Nawapa onyo mkinishinda mahakamani naenda Gamboshi kuwaroga, nyie watu wa ajabu mlianza kwangu baada ya kunipiga porojo zenu nikawashitukia mkamdanganya mke na shemeji na hii njia yenu kutusalimia good morning hata jioni nahisi ndo njia ya kuwapumbaza watu, nawaambia io hela mtaitoa, mama yangu msukuma.
Haha mkuu jenerali ulimwengu anaita "kujingishwa "Siku zote watanzania tunadhani maisha ni rahisi kama tunavyofikiria na sio uhalisia wenyewe, Hakuna tajiri wala mtu maarufu yoyote wa Tanzania alijiunga na hawa Qnet kwanini? Kwani wao hawataki kuwa matajiri zaidi!! Huu ni utapeli tanashati ambapo kila mjinga anampeleka mjinga mwenzie ili kukuza chama cha wajinga. Kama maisha yangekuwa rahisi kama wanavyosema Qnet kila mtu angekuwa bilionea. Namalizia kwa kusema "Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa" kisha tuendelee kusema Good Morning usiku (non-sense)
Nenda tu Gamboshi, hiyo hela hupati na mahakamani huwezi shinda maana hawa jamaa wanavibali, wanachokuambia ni wekeza ktk mfumo wa kununua, ukishanunua ujue umeshampa aliyekushawishi kamisheni, sasa ili upate na wewe tafuta fala mwingine umshawishi anunue ili upate kamisheni, product ya million 8 uliyokwishaichukua in a form of purchasing itawezaje kutengeneza hela for you, haiwezekeni..Qnet ideology is to fool someone then train him to fool others to earn money!
ama kweliUkiona unaitwa kwenye fursa, jua wewe ndo fursa yenyewe
kimweku mwekuSaa yenyewe ya kimweku mweku.