Njia yoyote unayopenda tutakutumia[emoji3] [emoji3] [emoji3]Je? Mnatuma hiyo supu kwa njia ya whatsApp???
Kwa wakaz wote wa morogoro tunapenda Kuwakaribish pweza Center iliyoko Masika, utajipatia supu Ya pweza, Chips za mwendokasi, na supu, ya kuku, na vyakula vingine vingi kwa bei poa na huduma zetu zinazingatia usafi wa hali Ya juu, Tunakuletea popote ulipo 0713689829 MA 0718252251
Poa to, tutakuleteaHata Dodoma pia mnaweza kuleta?
Humu inabidi uende jinsi watu wanavyotaka...ukiwa na hasira unaweza kutukana members wote humu maana sometimes maswali yao duh!!!Njia yoyote unayopenda tutakutumia[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Masika kama unaenda Nunge kabla hujafika Sinai lodgeMasika sehemu gani? Supu pweza hiyo
HahahaaDah good news japo ingekaa powa zaidi kama mngejitega maeneo ya msanvu pale karibu na itigi ili kuwapa wepesi wateja wenu wakipiga supu ya pweza then faster wanadaka magoma pale itigi kiulaiiiiiiiiini.
Palepale kwa Mama kiwia, sisi tumepanga kwake lile eneo lote la nyumaJirani na mama Kiwia? Container
Lakini kase ma kwa wakati wa MorogoroPoa to, tutakuletea
Pweza wa Mindu, Safi sana.Kwa wakazi wote wa Morogoro tunapenda kuwakaribish Pweza Center iliyoko Masika, utajipatia supu ya pweza, chips za mwendokasi, na supu, ya kuku, na vyakula vingine vingi kwa bei poa na huduma zetu zinazingatia usafi wa hali ya juu, tunakuletea popote ulipo 0713689829 na 0718252251.