Unajikuta umekaa uchi ghafla.....Duh! Huo mbinuko ni hatari
Kwa mbinuko huo wanaweza toka salama na kukung'uta vumbi maajabu ya mungu.Duh! Huo mbinuko ni hatari
Lakini Tanzania [emoji1241] hayana rekodi mbaya sana katika ajali..wamejitahidi sana maana Kusini kote wamejaa Nachingwea, Masasi, Mtwara.Hii kampuni IPO Mozambique pia,kuna miaka Fulani nilipita Mozambique nikayaona!nasikia hata kule walichinja sana watu kwa ajali za mabasi yao na kampuni yao kufungiwa kwa muda
Aisee kweli kabisa.. Ajali nyengine bhana..unajikuta unacheka tuUnajikuta umekaa uchi ghafla.....