Pwani: Ampiga mtu risasi ya mguu akidhani ni nyani shambani

Ndio maana akapewa silaha na risasi nyani hawatakiwi wale mahindi .
Wee hujui analinda kibarua chake? Je mwenye shaba angekuta nyani kala mstari mzima jamaa akiulizwa hiyo silaha ulipewa ya nini angejibuje
Siongeli jamaa naongelea Mwanadamu as a specie....

Ingekuwa enzi zile hakuna bunduki wala mishale zama za kale (level playing field) hapo ingekuwa fair...., kumbuka huyo binadamu amefyeka miti ya matunda ambayo nyani angekula ili apande hayo mahindi..., sasa unategemea nyani atakula nini... oxygen ?

Ukisema hajapanda yeye (yaani nyani) kumbuka yale matunda alipanda nyani.., kwa kula tunda fulani akijisaidia anakuwa amepanda ile mbegu...
 
Ametoa rai kwa watu wote wanaomiliki silaha bila kibali waache tabia hiyo na waanze kusalimisha silaha hizo wasisubiri Polisi tuwakamate, tayari tumepanga kufanya msako nyumba kwa nyumba kuzikamata"amesema Wankyo.
Statement za namna hii zinaonyesha namna askari walivyo wavivu kuwajibika, kwanini usiende moja kwa moja kufanya msako kama una nia ya dhati kutokomeza uhalifu
 
Huko ni kujitetea anaweza achiliwa maana hajaua
Miaka michache iliyopita shamba la mkulima mmoja lilikuwa likivamiwa na nguruwe pori mara nyingi nyakati za usiku. Usiku mmoja akiwa na bunduki, alimuona nguruwe mkubwa, akampiga risasi. Asubuhi alipokwenda kuangalia, akamkuta kiumbe wa ajabu amejeruhiwa. Kuanzia kichwani hadi kiunoni ni mtu aliyekuwa jirani yake. Lakini kuanzia kiunoni hadi miguuni ni nguruwe. Ilibidi wazee wa kijiji wakutane wamzike bila kuuaga mwili wake.

Hata kule Mlandizi, Pwani ilitokea mtu kumpiga nyani shambani, lakini siku ya pila ikaonekana maiti ya bibi kizee. Kilangila.
 
Nadhani wewe ni miongoni mwa walioelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom