Pwani: Akutwa akimchezea chezea Mtoto kwenye Nyeti zake

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Antony Lugendo (34)mkulima,mkazi wa Mlandizi kwa kosa la kumdhalilisha mtoto mdogo wa kike mwenye umri wa miaka mitatu kwa kumchezea chezea sehemu za siri.

Aidha mtuhumiwa alikamatwa akiwa chumbani kwake akiwa amemvua nguo zote huku akimchezea mtoto huyo ambae ni mwananfunzi wa chekechea.

Akithibitisha kutokea kwa tukio Hilo, Kamanda wa Polisi mkoani Pwani Wankyo Nyigesa, amesema upelelezi unaendelea ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya mtuhumiwa.
kama hamu ilimzidi, alishindwa atafute malaya lenye matako makubwa, akayachezee huko, yeye anachezea mtoto!!!! kichwa beseni kweli
 
Watu sijui huwa wanafikiria nini kuhusu kuwabaka watoto.
Wenye watoto muwe makini sana na watoto wenu ikiwezekana muwe mnawahoji.
 
Back
Top Bottom