Pwani: Akutwa akimchezea chezea Mtoto kwenye Nyeti zake

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,280
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Antony Lugendo (34)mkulima,mkazi wa Mlandizi kwa kosa la kumdhalilisha mtoto mdogo wa kike mwenye umri wa miaka mitatu kwa kumchezea chezea sehemu za siri.

Aidha mtuhumiwa alikamatwa akiwa chumbani kwake akiwa amemvua nguo zote huku akimchezea mtoto huyo ambae ni mwananfunzi wa chekechea.

Akithibitisha kutokea kwa tukio Hilo, Kamanda wa Polisi mkoani Pwani Wankyo Nyigesa, amesema upelelezi unaendelea ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya mtuhumiwa.
 
Atandikwe bakora 12 asubuhi, 12 jioni kwa miezi sita mfululizo. Hana adabu wala haya!
 
Hiyo ni moja wapo ya madhara ya KUTISHIANA ETI PUNYETO INA MADHARA.

Ukiona una nyege na huna mpango wa demu NYETUKA kuepuka aibu kama hizi
jamaa kazingua sana😂 yani anakaandaa kabisa katoto kadogo bila aibu, so alikuwa na lengo la kukafikisha kileleni
kosa kama hili ni la kuwaacha wananchi wamalizane nae
 
Sijui tufanye nini na hawa watu hata adhabu ziwe kali vipi hazipunguzi haya matendo
 
Back
Top Bottom