Bwana Utam JF-Expert Member Joined Feb 15, 2016 Posts 20,366 Reaction score 37,918 Jul 24, 2020 #201 Super Don said: Mwingereza anataka kumlipua baada ya kuwapa sumu Spyer wake huko UK Click to expand... vp MKUU bado hajamripua tu Siku UK atakayothubutu kujaribu kuufanya huo upunguani atajuta maishani mwake mpaka DUNIA inamalizika (Najua hawawezi hata kujaribu kujaribu)
Super Don said: Mwingereza anataka kumlipua baada ya kuwapa sumu Spyer wake huko UK Click to expand... vp MKUU bado hajamripua tu Siku UK atakayothubutu kujaribu kuufanya huo upunguani atajuta maishani mwake mpaka DUNIA inamalizika (Najua hawawezi hata kujaribu kujaribu)
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,772 Reaction score 71,857 Jul 24, 2020 Thread starter #202 Sela Son said: Dmark, Sweden Finland ni wajamaa? We ng'ata ulimi Click to expand... Ndiyo ni wajamaa, au ulikuwa hufahamu mkuu ???
Sela Son said: Dmark, Sweden Finland ni wajamaa? We ng'ata ulimi Click to expand... Ndiyo ni wajamaa, au ulikuwa hufahamu mkuu ???
S Sela Son JF-Expert Member Joined Dec 31, 2018 Posts 3,992 Reaction score 8,909 Jul 25, 2020 #203 Kataskopos said: Ndiyo ni wajamaa, au ulikuwa hufahamu mkuu ??? Click to expand... Ha ha ha ha ha ha ha ha, Rudi kwenye vyanzo Tena! Hao ni mabepari wakubwa!
Kataskopos said: Ndiyo ni wajamaa, au ulikuwa hufahamu mkuu ??? Click to expand... Ha ha ha ha ha ha ha ha, Rudi kwenye vyanzo Tena! Hao ni mabepari wakubwa!
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,772 Reaction score 71,857 Jul 25, 2020 Thread starter #204 Sela Son said: Ha ha ha ha ha ha ha ha, Rudi kwenye vyanzo Tena! Hao ni mabepari wakubwa! Click to expand... Nini maana ya Ubepari ??? Nini maana ya Ujamaa ??? Je, kila Ujamaa ni Umaksi (Marxism) ??? NB: Tuanzie hapa, maana nisije nikawa nafanya mjadala na mtu anayeamini kwamba kila aina ya Ujamaa hapa duniani ni Umaksi. Hebu tujadili....
Sela Son said: Ha ha ha ha ha ha ha ha, Rudi kwenye vyanzo Tena! Hao ni mabepari wakubwa! Click to expand... Nini maana ya Ubepari ??? Nini maana ya Ujamaa ??? Je, kila Ujamaa ni Umaksi (Marxism) ??? NB: Tuanzie hapa, maana nisije nikawa nafanya mjadala na mtu anayeamini kwamba kila aina ya Ujamaa hapa duniani ni Umaksi. Hebu tujadili....