Putin sends in his most ruthless special forces killers to finish off jihadist

Putin sends in his most ruthless special forces killers to finish off jihadist

Halafu nilitaka niulize swali kama hli nikaona sitajibiwa nikapotezea! Bavaria


Kukamatwa sio ishu sana.
Ila cha muhimu ni kubaki na objective ya kusafisha uchafu wa ISIS.
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa wapo serious waisaidie Syria maana taifa lilikuwa linakufa
 
Dotworld mzee wa spetsnaz. Wakitoka Syria waende Iraq kuwaondoa hao wadudu.
Nigeria iwaombe hao jamaa waje kuifuta Boko Haram na Somalia na Al Shabab wao.

Spetsnaz ni habari ingine mkuu niliangalia mafunzo yao youtube duuuh sijui kama tz tuna kikosi kama hiki!!! hao isis hawatapona!!
 
Last edited by a moderator:
spetsnsaz wanaogopwa dunia nzima.
waulize waasi wa chechnya.
wamuwa trained to ignore pains, to work beyond principles.

mashindano kati ya nevy seal amphibians na spetsnaz. kila mtu akitumia weapon kits zake. navy walikalishwa mbaaya.

isis wanawajua ndio maana wanaanza kukimbia.

Mi nahisi wale si watu aisee!!! Ni hatari sana ho watu!!
 
Putin kasema wanaeza ongeza operation mpaka iran kama wakiombwa!!
 
China naye anasubiri kuombwa aingie ana special force ina jinawlq kichina gumu ni balaa
 
U.S mdebwedo kwa RUSIA, sijui yeye ndio anasapot hawa wahuni. operation ndogo ya Rusia imebring impact kubwa. keep it up Rusia
 
Nina wasiwasi isije ikawa kama afghanstan miaka ya 1980 ambapo nyuma ya taliban kulikuwa na us, german na uk. Na mrusi akashindwa vita iliyodumu miaka 10. mimi huwa siwaamini US
 
ISIS ni mmarekani na Israel, sasa ngoja uone America atavyoipa sapoti IS kimya kimya kupitia Israel
 
ISIS ni mmarekani na Israel, sasa ngoja uone America atavyoipa sapoti IS kimya kimya kupitia Israel

Mkuu sidhani kama ni kimyakimya. Jana Ashton Carter alisema we will soon start to see Russian casualties, hiyo ndio kauli yenyewe.
 
Obama alikosea kutopeleka Jeshi Syria....
Obama alikosea sana na anajutia hilo maana Putin kamzidi kete tayari.... hatuwezi kuwa watu wa kufadhili magaidi
 
Back
Top Bottom