PUTIN said"Trump an outstanding talented absolutely leader.

PUTIN said"Trump an outstanding talented absolutely leader.

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,900
Putin just endorsed trump .Hivi Huyu trump kwa nini watu wanampenda sana na wengine kumchukia.Amebadilisha traditional rules .Mnasemaje jamani atashinda au ?.REPUBLICAN WABABE JAMANI mchokoze Rush Limbaugh ,Bill oreilly , Christie ,Glenn beck .Watu wamaogopa Fox News.
 
japo ni vigumu kwa trump kushinda lakini he's a straight leader and controversial
 
Putin just endorsed trump .Hivi Huyu trump kwa nini watu wanampenda sana na wengine kumchukia.Amebadilisha traditional rules .Mnasemaje jamani atashinda au ?.

DT is a ''smart'' opportunist,...
 
Daima mkamua jipu huchukiwa na mkamuliwaji kwa sababu ya maumivu anayoyapata. Huyo Trump ni tishio kubwa kwa wenye majipu ya ugaidi, na ndio hasa wanaomchukia.
 
Mimi natamani ashinde tuone itavokuwa
 
Jamaa facial expression yake inanifurahishaga asipokubali point ya mtu kwenye mdahalo
 
Watu wamaogopa Fox News.

Trump haipendi kivile Fox News.

Unakumbuka bifu yake na Megyn Kelly?

Hata jana au sijui juzi ile kamwambia Bill O'Reilly kwamba CNN wako fair zaidi kwake kuliko Fox News.

Bado sidhani kama Trump atakuwa nominee.

Nadhani Marco Rubio ana nafasi kubwa zaidi.
 
Alikuwa anafanya kazi fox wewe.Every Tuesday morning .wewe google fox and friends Tuesday with trump .Best friend wake Bill oreilly .Alikuwa anampenda megyn .Megyn akamkataa.
 
Alikuwa anafanya kazi fox wewe.Every Tuesday morning .wewe google fox and friends Tuesday with trump .Best friend wake Bill oreilly .Alikuwa anampenda megyn .Megyn akamkataa.

Trump alikuwa anamtaka Megyn Kelly?

Hmm...wewe hizo habari umezitoa wapi?
 
Trump alikuwa anamtaka Megyn Kelly?

Hmm...wewe hizo habari umezitoa wapi?

Megyn Kelly former name megyn Kendall .Huyu dada ali m date Yule babu Brit Hume and trump .Trump aliulizwa live Kama Ana crush megyn .Tembelea " mediabistro newser ".
 
Trump haipendi kivile Fox News.

Unakumbuka bifu yake na Megyn Kelly?

Hata jana au sijui juzi ile kamwambia Bill O'Reilly kwamba CNN wako fair zaidi kwake kuliko Fox News.

Bado sidhani kama Trump atakuwa nominee.

Nadhani Marco Rubio ana nafasi kubwa zaidi.

Safari ya kurudishwa kwenu Ukerewe inakaribia Umbwa wewe...
 
Megyn Kelly former name megyn Kendall .Huyu dada ali m date Yule babu Brit Hume and trump .Trump aliulizwa live Kama Ana crush megyn .Tembelea " mediabistro newser ".

Ngoja nitaicheki hiyo habari.
 
Back
Top Bottom