Wataalam wa siasa za Urusi na mahusiano yake na Marekani naombeni kujua kuna faida gani ambayo Urusi ya Putin itapata kwa kuchaguliwa kwa Trump. maana nasikia na kusoma katika vyombo vya habari kuwa hawa warusi walifanya kuhack mitandao na mawasiliano ya US kiasi cha kufanya Bwana Trump ashinde. je bi Hillary alikuwa na tishio gani kwa urusi. Pasco, Chahali na Tiba rwezile hebu nipe neno la kunifungua macho