Putin kavamiwa

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,232
Reaction score
757
Raisi wa Urusi Putin alivamiwa na kundi la wanawake wakiwa nusu utupu akiwa ziarani nchini Ujerumani pamoja na mwenyeji wake Angela Merkel

 
Ohoo.... hawamfahamu huyo KGB kuwa ni Judoka... atawagaragaza....
 
Check ule mkono ashakunja nuckles tayari, yani full KGB!
 
Hata Kampala (UG) kwisha tokea hayo:- mtindo mpya wa madada wakitetea haki zao, Sii ajabo waBongo wakakurukpuka nao!!
 
Alikuwa anashangaa matiti ya kibinti cha ujerumani....
 
hapo macho ya putin yapo kwenye matiti tu hakna lolote
Jaribu tena kuangalia vizuri utaona macho ya Mheshimiwa hayapo kwenye matiti, anamwangalia movement zake tu ili ampe yakibadach.
 
ujumbe huo wa nyuma tu uliyowakilishwa na bint kwa putin kuwa putin kalawitiwe
 
Angekuwa Vasco hapo angechelea huko macho mukifua mwa mwanadada!
 
Raisi wa Urusi Putin alivamiwa na kundi la wanawake wakiwa nusu utupu akiwa ziarani nchini Ujerumani pamoja na mwenyeji wake Angela Merkel

View attachment 89569
Macho hayo,jamaa anajaribu vitu vyote kwa wakati mmoja,anataka kucheka,kulia,kukimbia,kumrukia,kupiga kelele yaaani Uraisi wa nchi nyingine kazi kwelikweli!
 
..ongeza picha nyingine tupate picha kamili bhana..
 
Mzee alisha anza kukaa stance. Putin sio mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…