Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,173 Reaction score 190,751 Mar 20, 2023 #161 Allency said: Mkuu lengo siyo kumpeleka kama hujajua, huo ni mtego tu, kama wangekuwa na lengo/uwezo wa kumkamata na kumpeleka huko basi kwenye hii vita wangekuwa washamvizia na kumuua. Hapo kuna kitu wanachochea kama siyo kuwachonganisha Warusi ndani kwa ndani. Click to expand... π€£ Hawawez Putin ni mbabe kuanzia Urusi hadi Marekani. Hakuna wa kumbabaisha ni sawa leo hii useme eti kuna mtu wa kumnyoosha Jakaya bongo π!!!
Allency said: Mkuu lengo siyo kumpeleka kama hujajua, huo ni mtego tu, kama wangekuwa na lengo/uwezo wa kumkamata na kumpeleka huko basi kwenye hii vita wangekuwa washamvizia na kumuua. Hapo kuna kitu wanachochea kama siyo kuwachonganisha Warusi ndani kwa ndani. Click to expand... π€£ Hawawez Putin ni mbabe kuanzia Urusi hadi Marekani. Hakuna wa kumbabaisha ni sawa leo hii useme eti kuna mtu wa kumnyoosha Jakaya bongo π!!!
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 15,930 Reaction score 15,706 Mar 20, 2023 #162 Extrovert said: π€£ Hawawez Putin ni mbabe kuanzia Urusi hadi Marekani. Hakuna wa kumbabaisha ni sawa leo hii useme eti kuna mtu wa kumnyoosha Jakaya bongo π!!2 Click to expand... Extrovert said: π€£ Hawawez Putin ni mbabe kuanzia Urusi hadi Marekani. Hakuna wa kumbabaisha ni sawa leo hii useme eti kuna mtu wa kumnyoosha Jakaya bongo π!!! Click to expand... Mkuu hata Jk akifanya ujinga kama wa Jiwe lazima atazinguliwa tu
Extrovert said: π€£ Hawawez Putin ni mbabe kuanzia Urusi hadi Marekani. Hakuna wa kumbabaisha ni sawa leo hii useme eti kuna mtu wa kumnyoosha Jakaya bongo π!!2 Click to expand... Extrovert said: π€£ Hawawez Putin ni mbabe kuanzia Urusi hadi Marekani. Hakuna wa kumbabaisha ni sawa leo hii useme eti kuna mtu wa kumnyoosha Jakaya bongo π!!! Click to expand... Mkuu hata Jk akifanya ujinga kama wa Jiwe lazima atazinguliwa tu
Muccigang JF-Expert Member Joined Apr 9, 2022 Posts 1,314 Reaction score 1,940 Mar 21, 2023 Thread starter #163 pumzihaiuzwi said: Putin ana doubles zaidi ya kumi kumjua real Putin itawachukua miaka 50 yaani uyo Mzee ni mafia unaeza muina kwenye mkutano lakini sio yeye the real Putin ka chill home.View attachment 2559122View attachment 2559125View attachment 2559126 Click to expand... Duuh hamuish propaganda jaman ivi mbona biden yupo mmoja?
pumzihaiuzwi said: Putin ana doubles zaidi ya kumi kumjua real Putin itawachukua miaka 50 yaani uyo Mzee ni mafia unaeza muina kwenye mkutano lakini sio yeye the real Putin ka chill home.View attachment 2559122View attachment 2559125View attachment 2559126 Click to expand... Duuh hamuish propaganda jaman ivi mbona biden yupo mmoja?