PUTIN kaichukulia poa UKRAINE

PUTIN kaichukulia poa UKRAINE

Wewe ni mjinga na mpumbavu kabisa, unaleta western propaganda hapa? Siamini kama kuna Watanzania wapumbavu namna hii wasioweza kuchanganua mambo, stupid!!

Kwa muktadha huu wala sina haja kujadili na mpumbavu. Habari za kuangalia mioura eti mtu mweusi, lini umewahi kuketi kutazama ligi ya Urusi kwenye tv yako? Nani umewahi kumsikia akisaka nafasi kwenda kucheza soka Urusi? Haya wewe local hebu tutakuwa timu ya taifa ya Ukraine ina weusi wangapi?

Kwa mtu anayetazama mambo juu juu tu (not analytical) anasmini western media zina uhuru wa habari, fool!! Hicho mnacholishwa kinawafanya mfikiri kwa mtazamo wanaotaka wao, ukiwa mjinga utakuwa unasigia BBC, CNN, REUTERS nk ukiona ndio bora kwa habari. Ewe mpuuzi, hukuweza hata kujifunza kwa matukio ya vita vya Iraq? Vipi kuhusu Libya na Syria? Huo ujinga wa chemical attacks huko Syria mliokuwa mnalishwa ndio unaleta upumbavu wako eti Ulaya kuna uhuru wa habari?

Ngoja nikusaidie mwendawazimu wewe, Ulaya na Marekani kuna uhuru wa KUONGEA lakini hakuna UHURU WA KUFIKIRI. Wanakufundisha namna ya kufikiri kwa kukujaza upumbavu nawe utakuwa kama ulivyo hivi sasa, ukisifia ushenzi.

Kwa kukusaidia tu, usiwe na akili za kushikiwa, viko vyanzo vingi tu vya kuaminika, fanya your due diligence. Futa ujinga wako kijana, tazama show kama za kija George Galloway, MOATS nk. I bet hata hujui chanzo halisi cha huu mgogoro zaidi ya western narrative mnayojazwa na western media.

I challenge you, onesha wapi Russia inazuia uhuru wa habari nami NITAKUWEKEA HAPA upymbavu wa magharibi kuzuia uhuru wa habari. Ni aibu kubwa kuwa na watu wajinga namna hii who are spoon fed by Western corrup media. Kama umebaki na akili japo kwenye kisoda tu jiulize, ninyi chanzo cha kifo cha Aljazeera tv.

Stop praising western narrative.
umeandika vingi ila huez jibu kama umewai ona mtu mweus kweny taasisi yoyote ta kirusi au china au N.Korea , Unaonesha ujinga unekutawala mpk huez uona ukwel , mm sipo hapa kuwapamba west ila niko hapa kukufungua akili yako , Kama huonu hata kima mwenzio kweny taasisi zao unahisi hakuna watu weusi waliokulia huko ? kiufup mtu mweusi ndan ya Urusi haez toka nje kdg ya mji , nnachokuambia ni experience sio story za vijiwen kama unazozileta ww
 
Ba
Pamoja na kuwahakikishia mwanzoni kwamba "wanajeshi mahiri" pekee ndio watapigana, Rais Putin ameishia kutangaza "usajili wa wanajeshi wa ziada". Zaidi ya hapo, wanajeshi wa Urusi wamekuwa wakipoteza maeneo walioyateka katika majuma ya hivi karibuni kutokana na mashambulizi ya Ukraine
Baridi ni msimu mbaya wa vita
 
Uko mweupe kwelI wewe, ni lini Urusi ilishiriki biashara za watumwa? Haya niambie lini umeona mtu mweusi North Korea? Mambo mengine yanahitaji historia zaidi kuliko mihemko. Unadhani kila nchi ni lazima iwe na weusi? Halafu wao kushikilia utamaduni wao kuna ubaya? Trump alikusudia hilo USA kuzuia mamluki wanaokimbioia huko kila kukicha. Acha mawazo ya kitumwa mkuu
umeandika vingi ila huez jibu kama umewai ona mtu mweus kweny taasisi yoyote ta kirusi au china au N.Korea , Unaonesha ujinga unekutawala mpk huez uona ukwel , mm sipo hapa kuwapamba west ila niko hapa kukufungua akili yako , Kama huonu hata kima mwenzio kweny taasisi zao unahisi hakuna watu weusi waliokulia huko ? kiufup mtu mweusi ndan ya Urusi haez toka nje kdg ya mji , nnachokuambia ni experience sio story za vijiwen kama unazozileta ww
 
Wewe ni mjinga na mpumbavu kabisa, unaleta western propaganda hapa? Siamini kama kuna Watanzania wapumbavu namna hii wasioweza kuchanganua mambo, stupid!!

Kwa muktadha huu wala sina haja kujadili na mpumbavu. Habari za kuangalia mioura eti mtu mweusi, lini umewahi kuketi kutazama ligi ya Urusi kwenye tv yako? Nani umewahi kumsikia akisaka nafasi kwenda kucheza soka Urusi? Haya wewe local hebu tutakuwa timu ya taifa ya Ukraine ina weusi wangapi?

Kwa mtu anayetazama mambo juu juu tu (not analytical) anasmini western media zina uhuru wa habari, fool!! Hicho mnacholishwa kinawafanya mfikiri kwa mtazamo wanaotaka wao, ukiwa mjinga utakuwa unasigia BBC, CNN, REUTERS nk ukiona ndio bora kwa habari. Ewe mpuuzi, hukuweza hata kujifunza kwa matukio ya vita vya Iraq? Vipi kuhusu Libya na Syria? Huo ujinga wa chemical attacks huko Syria mliokuwa mnalishwa ndio unaleta upumbavu wako eti Ulaya kuna uhuru wa habari?

Ngoja nikusaidie mwendawazimu wewe, Ulaya na Marekani kuna uhuru wa KUONGEA lakini hakuna UHURU WA KUFIKIRI. Wanakufundisha namna ya kufikiri kwa kukujaza upumbavu nawe utakuwa kama ulivyo hivi sasa, ukisifia ushenzi.

Kwa kukusaidia tu, usiwe na akili za kushikiwa, viko vyanzo vingi tu vya kuaminika, fanya your due diligence. Futa ujinga wako kijana, tazama show kama za kija George Galloway, MOATS nk. I bet hata hujui chanzo halisi cha huu mgogoro zaidi ya western narrative mnayojazwa na western media.

I challenge you, onesha wapi Russia inazuia uhuru wa habari nami NITAKUWEKEA HAPA upymbavu wa magharibi kuzuia uhuru wa habari. Ni aibu kubwa kuwa na watu wajinga namna hii who are spoon fed by Western corrup media. Kama umebaki na akili japo kwenye kisoda tu jiulize, ninyi chanzo cha kifo cha Aljazeera tv.

Stop praising western narrative.
umeandika pumba halaf hujui eti kuna uhuru wa Kuongea hakuna uhuru wa kufikiri , unajua maana ya kufikiri ? ni mjinga tu ndo anapangiwa namna ya kufikir , yaan uwe huru kuongea ila usiwe huru kufikiri sasa unachoongea kimetoka kwenye kichwa chako umefikiri ndo ukamrushia aseme sio ? na ww ni miongon hao wajinga wenzio , ukiona umezuiliwa kuongea ujue umezuiliwa pia kufikiri and vice versa is TRUE , inabid SMARTPHONE ZIPANDE BEI WALE WAKULELELWA NA MASHEMEJ WASITULETEE UTOTO HUMU , bila kusahau ntajie taasisi ya Urusi au China au N.Korea yenye mtu mweusi au mwarabu au waamerika kusini au wahindi au unahisi hiz jamii hazipo kweny hizo nchi ? USHABIKI WENI UNAWATIA UCHIZI
 
Hilo pekee limeonyesha hujui maana ya huu mgogoro mkuu. Nakushauri Chambard kiundani halafu utagundua kwa nini imebidi iwe hivyo. Usiwe mhanga wa propaganda za Magharibi, hata Saddam mbwa hawa walimwangusha kwa kuwaaminisha watu ujinga kuwa ni mbaya. Gaddafi naye wamemtenda hivyo hivyo, tusiwe watumwa wa fikra mkuu. Fanya tafiti, utagundua Putin is a gentleman, ila kwa sababu west wana nguvu ya media ni wale wenye analytical thinking ndio wataliona hilo. Magharibi yamekuwa makao ya shetani.
huna akili ww mahaba yanakusumbua kila mtu unahisi anaendeshwa na habari za magharibi kama mnavyodanganya huko kwa wanywa vodka ? kila kitu kinaonekana halaf unataka utunge story zako za uongo na ukwel ,punguani mkubw ,hv ViDEGREE vya uchochoron vimetuletea wajinga weng mtaan yaan hawatak jifunza muda wote ubish tu
 
Huna ulijualo kuhusu ukoloni, tumia kichwa chako vizuri. Kuna open source info za kutosha, jibidiishe kutafiti mambo usiwe unaandika vijihoja visivyo na mashiko kana hivi. Unaweza kueleza kwa ufupi asili ya mgogoro kati ya Ukraine na Russia? Unajua nini?

Pili unaweza kueleza ukoloni mamboleo unaoendekezwa na Ulaya na Marekani? Hebu faranua ni kwa nini washenzi hawa wanavuruga na kuangusha mataifa yake yanayooata maendeleo ya kiuchumi na kuyarudisha zama za mawe?

Elezea mwanzo wa vita vya ugaidi na nani baba wa ugaidi duniani? Je wajua ugaidi ni silaha ya kuangusha mataifa? Nani anayenufaika na huu ufedhuli?

Ndipo ueleze ni wapi Russia imehusika na hayo? Huo ukoloni ilioufanya Russia ni kwa mataifa yapi? Urusi kaangusha taifa lipi? Usisahau kupitia mgogoro wa Afghanistan, Yugislavia, Mozambique nk ambako kumekuwa na ushiriki wa Urusi.

Nakusubiri
hlf we jamaa unamatatizo sio bure , unaandikiwa vitu open kbs ila muda wote kwenda OP hv Urusi wanakulisha nn ?
 
Huna ulijualo kuhusu ukoloni, tumia kichwa chako vizuri. Kuna open source info za kutosha, jibidiishe kutafiti mambo usiwe unaandika vijihoja visivyo na mashiko kana hivi. Unaweza kueleza kwa ufupi asili ya mgogoro kati ya Ukraine na Russia? Unajua nini?

Pili unaweza kueleza ukoloni mamboleo unaoendekezwa na Ulaya na Marekani? Hebu faranua ni kwa nini washenzi hawa wanavuruga na kuangusha mataifa yake yanayooata maendeleo ya kiuchumi na kuyarudisha zama za mawe?

Elezea mwanzo wa vita vya ugaidi na nani baba wa ugaidi duniani? Je wajua ugaidi ni silaha ya kuangusha mataifa? Nani anayenufaika na huu ufedhuli?

Ndipo ueleze ni wapi Russia imehusika na hayo? Huo ukoloni ilioufanya Russia ni kwa mataifa yapi? Urusi kaangusha taifa lipi? Usisahau kupitia mgogoro wa Afghanistan, Yugislavia, Mozambique nk ambako kumekuwa na ushiriki wa Urusi.

Nakusubiri
ww ni mpuuz , Afghanstan ipi unaizungumzia iliyopigana kumtoa Mrusi au iliyo pigana miaka 20 na USA ? Msumbiji inahusikaj hapa ? sio uhusika wake hapa au ndo unataka kutuletea matango ya vijiwen ? Inamaana hujui chanzo cha Yugoslavia kuvunjika hujui Serbia ndo chanzo hujui waserbia walijiona miungu watu kweny hilo shirikisho ? Hujui kuwa Serbia ndio alianza kuvamia mataifa shiriki ya Yugoslavia hasa yale yenye waislam wengi mfano Bosnia ebu acha ushabiki wa kipumbav , kwa upumbav huu sishangai ukimuunga mkono Urusi maana ndo aina nchi unazishabikia zenye hulka za kigaidi., Serbia aliua waislam wengi sana wa Bosnia na Kosovo pia alivamia Croatia na kuua sana ww ulitaka Dunia tukae kimya tumuache Serbia akiua hovyo huko Yugoslavia ?
 
Afu kukusaidia tu we lofa, North Korea, China, Russia hazikushiriki biashara yako pendwa ya watumwa. Hayo mataifa fedhuli unayopigia debe yalichujya watumwa ambao ndio leo mnaona watu weusi (zamani wakiitwa negros). Sasa kwa ufinyu wa fikra zako unadhani hawa jamaa ni wabaguzi sana.

Halafu unapotaja North Korea na kuona huna uwezo mzuri wa kufikiri. Ulitarajia uone watu weusi (maana tumebaki watumwa wa kulilia madaraka kwenye nchi za Wazungu) wakati taifa hilo kwa miaka yote limekuwa chini ya vikwazo vya mataifa kandamizi? Hebu tuambie ni lini WEWE mwenyewe umewahi kuwaza kusafiri kwenda Pyongyang kutafuta maisha? Kwa usalama wao hawataki ujinga, kwani hao ndugu zako wa magharibi wanatafuta namna ya kuliangusha taifa hilo.

Penda nchi yako, acha kulialia kutaka eti watu weusi waongoze Urusi, hao mashoga kina Obama hawana nafasi huko.
Kiufupi ndan ya N.Korea wapo wakorea kabisa weusi na wana nywele kama wazungu pia hata China , Iran , S.Korea , Japan ,Australia , Philipines , Thaiwan , Singapole na Turkey , kote huko wapo miaka nenda rudi ila hutooneshwa kweny media wala kuwaona kwenye nyadhifa mbali mbali , zipo documentary nying sana , wanasema hawana thaman kweny jamii hata kuoa wanapata tabu sana , USIPENDE UBISHI WA KIJINGA ULIZA UFUNDISHWE , NYINY NDO MBAFANYA TUNAITWA NYAN MAANA MNA SHOBO SANA NA NGOZI NYEUPE HAO WATU WEUPE HAWATUPEND INGAWAJE ULAYA NA MAREKAN KASKAZIN KUNA UNAFUU
 
Afu kukusaidia tu we lofa, North Korea, China, Russia hazikushiriki biashara yako pendwa ya watumwa. Hayo mataifa fedhuli unayopigia debe yalichujya watumwa ambao ndio leo mnaona watu weusi (zamani wakiitwa negros). Sasa kwa ufinyu wa fikra zako unadhani hawa jamaa ni wabaguzi sana.

Halafu unapotaja North Korea na kuona huna uwezo mzuri wa kufikiri. Ulitarajia uone watu weusi (maana tumebaki watumwa wa kulilia madaraka kwenye nchi za Wazungu) wakati taifa hilo kwa miaka yote limekuwa chini ya vikwazo vya mataifa kandamizi? Hebu tuambie ni lini WEWE mwenyewe umewahi kuwaza kusafiri kwenda Pyongyang kutafuta maisha? Kwa usalama wao hawataki ujinga, kwani hao ndugu zako wa magharibi wanatafuta namna ya kuliangusha taifa hilo.

Penda nchi yako, acha kulialia kutaka eti watu weusi waongoze Urusi, hao mashoga kina Obama hawana nafasi huko.
View attachment 2421027View attachment 2421028
fb35fa034933db1d7f66f3ef53f18883--black-asian-black-is-beautiful.jpg
 
Back
Top Bottom