

ww jamaa huna akili timamu na nahis sina namna ya kukuelimsha maana ushameza sumu , hv ushawai ona hata mchezaj mweusi kweny timu ya taifa ya China au Urusi au N.korea ? au kwenye serikali zao ushawai ona mtu mweusi ? Ww bado una akili za Kimah na siez kukubadili , huez sikia mabaya ya Urusi au China au N.Korea maana ubaguz upo kila kitengo yaan huez pata sauti ya kujitetea ila West kuna uhuru wa media kukosoa ubaguz , sasa ww ulivyo mpumbav unaona ndo kama ubaguz upo tu huko wanakokemea ubaguz hadharan na unaandika uchafu wako kuwa Urusi hakuna ubaguz Yaan kichwan sifuri kbs , nafunga mjadala maana naona upeo wako mdg sana hujitambui
Wewe ni mjinga na mpumbavu kabisa, unaleta western propaganda hapa? Siamini kama kuna Watanzania wapumbavu namna hii wasioweza kuchanganua mambo, stupid!!
Kwa muktadha huu wala sina haja kujadili na mpumbavu. Habari za kuangalia mioura eti mtu mweusi, lini umewahi kuketi kutazama ligi ya Urusi kwenye tv yako? Nani umewahi kumsikia akisaka nafasi kwenda kucheza soka Urusi? Haya wewe local hebu tutakuwa timu ya taifa ya Ukraine ina weusi wangapi?
Kwa mtu anayetazama mambo juu juu tu (not analytical) anasmini western media zina uhuru wa habari, fool!! Hicho mnacholishwa kinawafanya mfikiri kwa mtazamo wanaotaka wao, ukiwa mjinga utakuwa unasigia BBC, CNN, REUTERS nk ukiona ndio bora kwa habari. Ewe mpuuzi, hukuweza hata kujifunza kwa matukio ya vita vya Iraq? Vipi kuhusu Libya na Syria? Huo ujinga wa chemical attacks huko Syria mliokuwa mnalishwa ndio unaleta upumbavu wako eti Ulaya kuna uhuru wa habari?
Ngoja nikusaidie mwendawazimu wewe, Ulaya na Marekani kuna uhuru wa KUONGEA lakini hakuna UHURU WA KUFIKIRI. Wanakufundisha namna ya kufikiri kwa kukujaza upumbavu nawe utakuwa kama ulivyo hivi sasa, ukisifia ushenzi.
Kwa kukusaidia tu, usiwe na akili za kushikiwa, viko vyanzo vingi tu vya kuaminika, fanya your due diligence. Futa ujinga wako kijana, tazama show kama za kija George Galloway, MOATS nk. I bet hata hujui chanzo halisi cha huu mgogoro zaidi ya western narrative mnayojazwa na western media.
I challenge you, onesha wapi Russia inazuia uhuru wa habari nami NITAKUWEKEA HAPA upymbavu wa magharibi kuzuia uhuru wa habari. Ni aibu kubwa kuwa na watu wajinga namna hii who are spoon fed by Western corrup media. Kama umebaki na akili japo kwenye kisoda tu jiulize, ninyi chanzo cha kifo cha Aljazeera tv.
Stop praising western narrative.