Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,786
Mkuu unafikiri kweli? Tazama ni mataifa mangapi yameinuks kupigana na mrusi? Huyo Ukraine imebaki jina tu, lakini kiukweli Russia kupigana na Ulaya na Marekani na kawamudu vema.Pamoja na kuwahakikishia mwanzoni kwamba "wanajeshi mahiri" pekee ndio watapigana, Rais Putin ameishia kutangaza "usajili wa wanajeshi wa ziada". Zaidi ya hapo, wanajeshi wa Urusi wamekuwa wakipoteza maeneo walioyateka katika majuma ya hivi karibuni kutokana na mashambulizi ya Ukraine
Mkuu kinachomuumiza PUTIN ni vikwazo vya uchumi. Usiombe DUNIA ikutenge .Mkuu unafikiri kweli? Tazama ni mataifa mangapi yameinuks kupigana na mrusi? Huyo Ukraine imebaki jina tu, lakini kiukweli Russia kupigana na Ulaya na Marekani na kawamudu vema. Ni aibu kuongelea Ukraine kwamba inapigana na Russia wakati comedian 24/7 yuko analialia kwenye media Russia ibanwe. Waneweka vikwazo, wamepeleka silaha na wapiganaji, wameitenga na jumyia ya kimataifa lakini mwishowe wanaumia wao.
Putini ni kiongozi ambaye anaishi kwa kutisha tisha na propaganda nyingi amejulikana toka wiki ya kwanza ya uvamizi, kwa level ya Russia aliyonayo kiuhalisia hata Ruwanda anaweza kusimama naye kwenye vitaOperesheni maalum" ya Putin haijaenda kulingana na mpango. Kile kilichopaswa kuchukua siku au wiki kadhaa tayari imechukua miezi kadhaa. Kremlin inaonekana kabisa haikuchukulia upinzani wa Ukraine kwa uzito mkubwa. Magharibi kuunga mkono Kyiv na wimbi la vikwazo vya kimataifa ambavyo Urusi ingekabiliana nayo.
Operation inaendelea vizuri kama ilivyopangwa, hizo siku mbili au tatu ni zenu ila Putin yupo smart na hichi walichofanya Ukraine kwa Poland kinawaondoa kwenye game kabisaPutini ni kiongozi ambaye anaishi kwa kutisha tisha na propaganda nyingi amejulikana toka wiki ya kwanza ya uvamizi, kwa level ya Russia aliyonayo kiuhalisia hata Ruwanda anaweza kusimama naye kwenye vita
Juzi ametangaza tena foreign fighters wajitokeze kumsaidia vita ya Ukraine atawalipa vizuri, donge nono hilo jitokeze wenzako wametimua mbio Kherson wamekubali yaisheOperation inaendelea vizuri kama ilivyopangwa, hizo siku mbili au tatu ni zenu ila Putin yupo smart na hichi walichofanya Ukraine kwa Poland kinawaondoa kwenye game kabisa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nakuhakikishia Russia angepigana na NATO hangechukua wiki moja angakuwa majivu.Mkuu unafikiri kweli? Tazama ni mataifa mangapi yameinuks kupigana na mrusi? Huyo Ukraine imebaki jina tu, lakini kiukweli Russia kupigana na Ulaya na Marekani na kawamudu vema. Ni aibu kuongelea Ukraine kwamba inapigana na Russia wakati comedian 24/7 yuko analialia kwenye media Russia ibanwe. Waneweka vikwazo, wamepeleka silaha na wapiganaji, wameitenga na jumyia ya kimataifa lakini mwishowe wanaumia wao.
Acha kutumia jina la NYERERE unasapoti ukolon anaotaka ufanya Urusi ndan ya Ukraine kitu Nyerere alipigana nacho , pili Urusi ilibidi ajue sio kukurupuka tu , swala la mataifa mangap hayo alipaswa ajue awali maana alikuwa anafanya mamb kwa mazoea walimuacha atawale Kalingard na Moldova mpk 2008 kisha akaoba haitosh akaivamia Georgia akapora jimbo moja wakamkalia kimya akaona haitosh akaivamia Crimea pia wakamkalia kimya akahisi dunia wajinga akataka imeza Ukraine yote angea hwa hapa basi kesho angelitaka bara la Afrika zima maana ndio wanyonge waliobakia angeweza wavamia kwa wakati mmoja , WEST wanamzuia na tabia yake ya kuleta ukoloni karne ya 21Mkuu unafikiri kweli? Tazama ni mataifa mangapi yameinuks kupigana na mrusi? Huyo Ukraine imebaki jina tu, lakini kiukweli Russia kupigana na Ulaya na Marekani na kawamudu vema. Ni aibu kuongelea Ukraine kwamba inapigana na Russia wakati comedian 24/7 yuko analialia kwenye media Russia ibanwe. Waneweka vikwazo, wamepeleka silaha na wapiganaji, wameitenga na jumyia ya kimataifa lakini mwishowe wanaumia wao.
Putini ni kiongozi ambaye anaishi kwa kutisha tisha na propaganda nyingi amejulikana toka wiki ya kwanza ya uvamizi, kwa level ya Russia aliyonayo kiuhalisia hata Ruwanda anaweza kusimama naye kwenye vita
ndipo akili yako ilipoishia , wenzio wanamuundia profile kwanza , walianza wakiwa km 11 kuingia kiev ila sasa hv wanakaribia kurudishwa hadi Crimea kipind haya yanafanyika bas wanaandaa profile yake mbov wakimshika wamnnyonge kabisa, Napoleon alikuwa wa moto ila alipoanza kama Putin walimuacha akajiona mwamba bas akiwa anaelekea Urusi kuivamia ndipo Wakaanza kumwadhibu na walipomshika walimfanya mbaya sana the same kwa Hitler aliachwa apige Poland, Ufaransa na ubelgiji , ikifika muda Putin atatundikwa kitanzin mtakuja kusema kaonewa wkt ss hv mnashangilia mauaji yake ya raia wema huko Ukraine .Operation inaendelea vizuri kama ilivyopangwa, hizo siku mbili au tatu ni zenu ila Putin yupo smart na hichi walichofanya Ukraine kwa Poland kinawaondoa kwenye game kabisa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu fanya tafiti tena, hizi unazoandika ni stori za vijiweni.Nakuhakikishia Russia angepigana na NATO hangechukua wiki moja angakuwa majivu.
Ameshindwa kwa kanchi kapo mpakani ambako siraha kanaomba na kanapewa siraha dhaifu angeweza NATO wenye ndege za kivita zaidi ya elfu 20 na askari zaidi ya milion 3,kwanza hapo zingeletwa F22 na F35 kumi tu basi putini angeng'oka.
Kumbe kuna watu weupe hivi kiasi kwamba hawajui mkoloni ni nani? Hivi unadhani mataifa ya Afrika kukataa kuilaumu Urusi ni wapumbavu wa levo hizo?Acha kutumia jina la NYERERE unasapoti ukolon anaotaka ufanya Urusi ndan ya Ukraine kitu Nyerere alipigana nacho , pili Urusi ilibidi ajue sio kukurupuka tu...
Acha comedyNilichojifunza usije ukaona nchi ndogo ukajifanya kwenda kuivamia, 'bouncer usimzarau kimbambau'
Niambie NATO wana ndege vita zaidi ya elfu 20 na kibonde sijui kama hata 3000 anafikisha,mkuu acha kulinganisha NATO na vitu vya ajabu.Mkuu kufanya tafiti tena, hizi unazoandika ni stori za vijiweni.
Pale kwako ukivamiwa na watu wenye silaha za moto na wewe una panga tu nafasi ikipatikana hutoomba msaada? Kupiga yowe ili usaidiwe ni moja ya namna ya kumshinda adui. Hakuna aibu katika hilo.Ni aibu kuongelea Ukraine kwamba inapigana na Russia wakati comedian 24/7 yuko analialia kwenye media Russia ibanwe.
Ubaya wa Ukraine na west hauhalalishi ubaya wa kukwapua ardhi. Kuna namna nyingi za kupigana na huo ubaguzi wa rangi unaousema na sio kuchukua ardhi halali ya nchi nyingine.Kumbe kuna watu weupe hivi kiasi kwamba hawajui mkoloni ni nani? Hivi unadhani mataifa ya Afrika kukataa kuilaumu Urusi ni wapumbavu wa levo hizo? Sasa na kusaidia, wote mnaosapoti Ukraine mnaosapoti ushenzi wa ubaguzi wa rangi mbaya sana. Mnajitukana wenyewe kwa kushadidia mambo msiyoyajua. Acha kuongozwa na stori za vijiwe vya kahawa, fanya research, mbona mtandao upo tu?