Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,393
- 1,216
i think it is because of the missile treaty that Trump has vowed to revoke.maybe he is talking about venezuela,or he could be talking about ukraine,there have been a lot of activities in east ukraine recentry,suggesting that moscow could be planning to take ukraine once US take venezuela,seeing how the US have been claiming that venezuela is in their backyard,so moscow ready to claim Ukraine is in their frontyard
ni X-KGB a hard oneHuyu jamaa huwa simwelewi kabisa
Kwanza cheki hiyo kichwa yake na sura yake ilivyokaa kaa.
Anyway WATAJIJUA WENYEWE UKO.
Hakuna Kafara Hapo! Europe Kuna UK Na Ufaransa Ambao Wako Kwenye G5 (Nuclear Powers). Urusi Anaanzaje Kuigeuza Europe Majivu Wakae Wanamuangalia Tuu??????Mkuu huoni USA akiweka silaha huko Europe atakuwa amewatoa kafara wenzake make itabidi Russia kama ambavyo alishawahi kusema kabla hajashambulia USA atahakikisha Europe na middle east panabaki majivu
Hebu chunguza deni la nje la urusi linapanda Au linashuka ndio utajua kwamba hicho kiburi cha Putin kinatoka wapi. Urusi ya sasa sio ile ya zamani..wanakuja juu kwa kasi sana kiuchumi. Ni tishio kwa US na ndio maana kakimbilia kupeleka fujo amerika huko.Nani amekwambia shida zinazoeleka mkuu?.Fact ni kwamba Russia hawapendi kuwa kwenye depression kila kukicha hata kidogo,tatizo hakuna akili ya kuwatoa hapo walipo,Maana akili iliyoyopo inawaza military might 24/7.Hakuna nguvu muhimu kama nguvu ya uchumi asikudanganye mtu,you can do what ever you want.
Uchumi Wa Urusi Unakuwa Lakini Kwa Rate Ya Kawaida Sana. Kiuchumi Urusi Si Tishio Kabisa Kwa USA. Nchi Ambayo Inaweza Kuwa Tishio Kwa USA Kiuchumi Ni CHINA Pekee Kwa Sasa!Hebu chunguza deni la nje la urusi linapanda Au linashuka ndio utajua kwamba hicho kiburi cha Putin kinatoka wapi. Urusi ya sasa sio ile ya zamani..wanakuja juu kwa kasi sana kiuchumi. Ni tishio kwa US na ndio maana kakimbilia kupeleka fujo amerika huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi Wa Urusi Unakuwa Lakini Kwa Rate Ya Kawaida Sana. Kiuchumi Urusi Si Tishio Kabisa Kwa USA. Nchi Ambayo Inaweza Kuwa Tishio Kwa USA Kiuchumi Ni CHINA Pekee Kwa Sasa!
Kakosa viza ya kwenda Moscow...
Kumbuka Russia ndiyo anaongoza kumiliki makombora ya nyuklia kuliko nchi yoyote duniani ana kombora lenye uwezo wa kuiteketeza nchi ya ufaransa waeuropean wanalijua hilo wanaliita SATANHakuna Kafara Hapo! Europe Kuna UK Na Ufaransa Ambao Wako Kwenye G5 (Nuclear Powers). Urusi Anaanzaje Kuigeuza Europe Majivu Wakae Wanamuangalia Tuu??????
Hakuna Missile Inayoweza Kuifuta Nchi Kama Ufaransa. Ninachotaka Kukuambia Ni Kuwa Hata Kama Urusi Awe Na Makombora Mengi Bado Hata Ufaransa Naye Ni Nuclear Power Na Ana Makombora Yanayoweza Kupiga Sehemu Yeyote Duniani (Ni G5 Member Yule). Kwa Maana Hiyo Lazima Atajibu Mapigo.Kumbuka Russia ndiyo anaongoza kumiliki makombora ya nyuklia kuliko nchi yoyote duniani ana kombora lenye uwezo wa kuiteketeza nchi ya ufaransa waeuropean wanalijua hilo wanaliita SATAN
Hivi kati ya nchi 28 zipo kwa ajili ya taifa moja tu Russia huoni hao ndiyo waoga hayo maneno ya kusema ni mikwara yaliwaponza Georgia na Ukraine walidanganywa na mjomba wao ila kichapo kilipoanza si mjomba wala kaka aliyeingilia hilo sereka matokeo yake majimbo ya Abkhazia Ossetia yakajitangazia uhuru mpaka Leo hii crimea iko Russia mjomba na vibaraka wake kimyaUkiona mtu kila siku anatoa vitisho ujue mwoga uyo! Maana kila siku ni Puttin ndiye analalamika na kupiga mikwara kibao wakati wenzake wako kimya wakifanya research na kuandaa mbinu za kukuza Uchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mjerumani aliweza kumumdu mfaransa mpaka kuteka nchi nzima Russia hatachukua muda kuhakikisha vibaraka kama ufaransa wamefutika duniani Tsar Bullava nk hayo yote ni nyukliaHakuna Missile Inayoweza Kuifuta Nchi Kama Ufaransa. Ninachotaka Kukuambia Ni Kuwa Hata Kama Urusi Awe Na Makombora Mengi Bado Hata Ufaransa Naye Ni Nuclear Power Na Ana Makombora Yanayoweza Kupiga Sehemu Yeyote Duniani (Ni G5 Yule). Kwa Maana Hiyo Lazima Atajibu Mapigo.
Ni Chanzo Gani Kinachosema Kuwa USA Amekimbia Middle East?Uchumi unakua, deni linapungua kwa kasi. Reserve ya gold inaongezeka, na hapo yuko kwenye vikwazo. Sio wa kubezwa! Unajua kwa nini US kakimbiza fujo kutoka ulaya mash. hadi amerika? Unajua Kwanini amekimbia Middle East?
Sent using Jamii Forums mobile app
Find it.Ni Chanzo Gani Kinachosema Kuwa USA Amekimbia Middle East?
Hizo Nchi 28 Ni Zipi. Kama Unasemea NATO, Haipo Kwa Ajili Ya Russia Pekee. Infact NATO Ipo Dhidi Ya Taifa Lolote Lile Nje Ya Muungano Huo. Rejea Libya.Hivi kati ya nchi 28 zipo kwa ajili ya taifa moja tu Russia huoni hao ndiyo waoga hayo maneno ya kusema ni mikwara yaliwaponza Georgia na Ukraine walidanganywa na mjomba wao ila kichapo kilipoanza si mjomba wala kaka aliyeingilia hilo sereka matokeo yake majimbo ya Abkhazia Ossetia yakajitangazia uhuru mpaka Leo hii crimea iko Russia mjomba na vibaraka wake kimya
Wewe Si Ndio Uliyesema?
Sasa unabishania kitu hujui? Kuwa na taarifa za kutosha then ingia kwenye majadiliano.Wewe Si Ndio Uliyesema?
Hizo Nyuklia Unazosemea Hata Ufaransa Anazo. Tena Za Kutosha. Sijui Unazungumzia Ufaransa Ya Mwaka Gani???Kama mjerumani aliweza kumumdu mfaransa mpaka kuteka nchi nzima Russia hatachukua muda kuhakikisha vibaraka kama ufaransa wamefutika duniani Tsar Bullava nk hayo yote ni nyuklia
Hizo Nchi 28 Ni Zipi. Kama Unasemea NATO, Haipo Kwa Ajili Ya Russia Pekee. Infact NATO Ipo Dhidi Ya Taifa Lolote Lile Nje Ya Muungano Huo. Rejea Libya.
Hizo Nyuklia Unazosemea Hata Ufaransa Anazo. Tena Za Kutosha. Sijui Unazungumzia Ufaransa Ya Mwaka Gani???
Usifikiri Sina Taarifa Ndugu, Hapa Tunawekana Sawa. Hizo Taarifa Kuwa USA Kakimbia Middle East Wewe Umezipata Wapi?Sasa unabishania kitu hujui? Kuwa na taarifa za kutosha then ingia kwenye majadiliano.
Sent using Jamii Forums mobile app