Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,653
Mambo ya namna hiyo huwa hayapo, ni hadithi za kusadikika.
View: https://www.youtube.com/shorts/NuyD1ilBJBw
View: https://www.youtube.com/shorts/NuyD1ilBJBw
Kwani wewe utakua wapi zaidi ya kwenye kifua Cha mwana ccm ukiikatikia ...Hii ndiyo akili ya mtanzania wa kawaida, dira 2050 tutakuwa wapu kwa akili km hizi!
SafiHaya Great Thinker, una Double wa mama yako?
Watu mliozoea mitandao ya udaku bongo utawajua tu. Hata kiingereza kinawapa shida.Mnadanganyana hivi mkiwa kijiweni mnakula migagi.
Mkuu kama udaku na kina Mondi, Baba Levo ni saizi yako, huku usikanyage!Wakuu wako ni kina nani na mambo ya Putin na Trump yanatuhusu nini????angalieni vitu vya kuleta huku siyo kwa sababu unabando basi!!
Putin ni huyo huyo hakuna cha double wala nini sijui!!!View attachment 3442850
Kwa usalama hawa jamaa wako anga nyingine!!!!
Putin ni huyo huyo hakuna cha double wala nini sijui!!!