Mkuu tatizo una apply Sayanzi Kimu, hapa, Pesa ya Urusi ikishuka thamani ni pigo kwa nchi za ulaya, tatizo unalinganisha kushuka thamani kwa pesa ya Urusi na pesa ya Bongo, sio hivyo.
wewe umeongea kama msomi siyo hao wengine wanaongea tu.
Wana hari mbaya sana, Saudia anajiandaa kupunguza mishahara kwa wafanyakazi wake, na inabidi atumie reserve yake kugharamikia Serikali. Kwa CANADA nako hari si nzuri kabisa ikumbukwe CANADA 30% ya patao lake ni mafuta.
Hizi nchi zote wanapelekwa na USA, na cha ajabu ni kwamba USA aliwalazimisha EU waiwekee Urusi vikwazo cha ajabu kulikon zote ni kwamba tangu vikwazo viwekwe Biashara kati ya Urusi na USA imeongezeka na USA wameuza sana Urusi huku biashara kati ya Urusi na EU ikiporomoka.
Utakuwa una matatizo kwenye brain yako. si bure
Russia identifies NATO as its biggest threat
Last updated: 27 December 2014
Military doctrine signed by President Putin raises possibility of broader use of weapons to deter foreign aggression.
A new military doctrine signed by President Vladimir Putin identified NATO as Russia's number one military threat and raised the possibility of a broader use of precision conventional weapons to deter foreign aggression.
The new doctrine was signed on Friday, and it maintains the provisions of the 2010 edition of the military doctrine regarding the use of nuclear weapons.
The doctrine, which came amid tensions over Ukraine, reflected the Kremlin's readiness to take a stronger posture in response to what it sees as US-led efforts to isolate and weaken Russia.
Russia's relations with the West have plummeted to their lowest level since Cold War times, and NATO cut off ties to Moscow after it annexed Ukraine's Crimean Peninsula in March.
The doctrine says Russia could employ nuclear weapons in retaliation for the use of nuclear or other weapons of mass destruction against the country or its allies, and also in the case of aggression involving conventional weapons that "threatens the very existence'' of the Russian state.
For the first time, the new doctrine says Russia could use precision weapons "as part of strategic deterrent measures", the Associated Press reported.
Examples of precision conventional weapons include ground-to-ground missiles, air- and submarine-launched cruise missiles, guided bombs and artillery shells.
The document does not spell out when and how Moscow could resort to such weapons.
NATO 'poses no threat'
The doctrine places "a build-up of NATO military potential and its empowerment with global functions implemented in violation of international law, the expansion of NATO's military infrastructure to the Russian borders'' atop the list of military threats to Russia.
NATO spokeswoman Oana Lungescu responded by saying in a statement that the alliance "poses no threat to Russia or to any nation".
"Any steps taken by NATO to ensure the security of its members are clearly defensive in nature, proportionate and in compliance with international law.
"In fact, it is Russia's actions, including currently in Ukraine, which are breaking international law and undermining European security," she said.
The doctrine also mentions the need to protect Russia's interest in the Arctic, where the global competition for its vast oil and other resources has been heating up as the Arctic ice melts.
http://www.aljazeera.com/news/europe/2014/12/russia-nato-biggest-threat-20141227164270399.html
Hadi hapo hakika wewe ndo umeshathibitika una matatizo makubwa sana ya akili
Ningeambiwa nichague USA au RUSSIA kama sehemu ya kwenda kula likizo this seasson , ningechagua RUSSIA!!
Wana hari mbaya sana, Saudia anajiandaa kupunguza mishahara kwa wafanyakazi wake, na inabidi atumie reserve yake kugharamikia Serikali. Kwa CANADA nako hari si nzuri kabisa ikumbukwe CANADA 30% ya patao lake ni mafuta.
Hizi nchi zote wanapelekwa na USA, na cha ajabu ni kwamba USA aliwalazimisha EU waiwekee Urusi vikwazo cha ajabu kulikon zote ni kwamba tangu vikwazo viwekwe Biashara kati ya Urusi na USA imeongezeka na USA wameuza sana Urusi huku biashara kati ya Urusi na EU ikiporomoka.
hata mimi. siyo sababu ni kuzuri sana ila sababu ya gharama. ratio ya dola na ruble ilikuwa 37 lakini ikaporomoka mpaka 60. so hata gharama za hotel, chakula na vidosho itakuwa imepungua sana.Ningeambiwa nichague USA au RUSSIA kama sehemu ya kwenda kula likizo this seasson , ningechagua RUSSIA!!
Wewe hujui US threat kubwa kwake ni Russia?US Kujidai anataka kuitawala dunia anavyotaka yeye haitokaa itokee KWA sababu kuna Russia ambaye hampi usingizi!!Siyo tu Russia kuna China!!US,EU na NATO kuhangaika na kanchi kamoja kila kukicha.Ridiculous!!
Duu! Inaonekana kama hujielewi vile!! Russia imetambua kwamba NATO na US ndo tishio kubwa kwao, yaani ni tumbo joto hawana usingizi kwa sababu ya hao jamaa, sasa wewe badala ya kukanusha ama kuunga mkono ama kukaa kimya sasa umekuja na porojo zingine kabisaa! Au ndo kusema uelewa wako mdogo hujaelewa kinajadiliwa nini hapa!
On December 17, the Russian Central Bank intervened in the foreign exchange market to support the value of the ruble. By selling from its deep U.S. dollar reserves, the Russians were able to drive up the value of the ruble, forcing speculators to take huge losses. The new headline was Ruble Surges.
Later last week, and again to start the week of December 22, the ruble has been gaining ground against the dollar. The engineer of the turnaround is Ms. Elvira Nabiullina, Governor of the Bank of Russia, the first woman to head a G8 central bank, and formerly economic adviser to Putin.
Putin has responded to the U.S.-led sanctions movement by diversifying oil and gas exports towards China and Turkey, and signing sales agreements in rubles or currencies other than the U.S. dollar. By abandoning the U.S. dollar as its trading currency, and accepting payments in Chinese yuan, for instance, Putin is signalling his desire to break the stranglehold the U.S. currency has enjoyed over oil and gas trade, and within the world economy.
Russia has a favourable balance of trade and healthy foreign exchange reserves. Its overseas assets exceed its overseas debts. Contrary to reports from even American liberals such as Paul Krugman, Russia is well placed to meet its overseas payments, as French specialist Jacques Sapir has shown.
The Russian economy grew on average by nearly seven per cent per year from 1999-2008 (Putin took power in 2000) before it tanked in the world financial crisis of 2008. While U.S. and Eurozone (except Germany) economic growth remained about zero from 2008 until 2013, Russia grew slowly in that period.
Importantly, in 2014 the level of Russian government debt is small at 16 per cent of GDP, especially when compared to other industrial countries such as France or the U.K., where it is over 90 per cent.