Putin atanyongwa kama gaidi Sadam Hussein

Putin atanyongwa kama gaidi Sadam Hussein

Hao wote waliuwawa sababu ya marekani kulipuliwa mwaka 2001.

Baada ya marekani kulipuliwa walianzisha mission ya kisasi ya kumsaka osama bin laden na al qaeda iliyoitwa War on terror

Ghadafi na sadam hussein walionekana wanawaficha Al qaeda kwenye nchi zao.

Ili kumpata osama ilibidi hao kina ghadaffi na saddam waundiwe zengwe wauliwe kisha vibaraka wapewe madaraka ili Al qaeda wakose ma Rais wa kuwaficha
Jamaa mmoja amesema tujitahidi kuficha ujinga wetu
 
Maanina zake Gadafi na Sadam husen. Nadhani wako motoni unawachoma pole pole, wameua watu wengi sana
 
Ukweli ni kuwa Putin atatiwa kitanzi kama yule gaidi wa Iraq. Putin atawajibishwa na mahakama za nchi yake, ni muda tu.

Watu wa magharibi ni watu wa mipango na wanaishi kwenye mipango yao no matter watasubiri kiasi gani.

Walimsubiri gaidi Sadam kwa miaka 20 akanasa. Wakamsubiri gaidi Gadafi toka miaka ya 80 akanasa miaka ya 2000.

Putin ameumiza roho za ukraine zinavuja damu. Lazima atalipa.
Sasa huu ujinga Sadam hakuwa gaidi labda babaako, mimi ni pro US lakini ukija kwa saddam Bush alaaniwe sana ameuwa vichanga Iraq, na watu wengi zaidi wasio na hatia
 
Sadam aligaidia nini

Gaddafi aligaidia nini

Acha ulimbukeni
Mchawi ní mchawi tu na akikosa wa kumloga analoga wajukuu zake!
Acha Mahaba!
Sadam licha ya kuwauwa kwa sumu wananchi wenzie,
aliivamia Kuwaiti, aiivamia Iran!; walimchokoza??
Gadafi kauwa walibya mpaka kachoka kaenda wauwa wazungu...
Allah Amesema!
[emoji116][emoji116]
وَلَكُمْ فِي الْقِصَاصِ حَيَاةٌ يَا أُولِي الْأَلْبَابِ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ

[ AL - BAQARA - 179 ]
Mtakuwa nao uhai mzuri katika kulipiza kisasi enyi wenye akili, ili msalimike.
 
Eshaanza kujiicha ficha kama sadam!
Ngoja litoke fungu uone warusi watakavyo mgombea
 
Nionyeshe ugaidi mmoja wa Gaddafi, nikuonyeshe ugaidi usiohesabika wa hao "wa magharibi".

Putin sio Humphrey Polepole!
Kwäni yeye ní mdogo wa ibilisi???
Kichwa kitaliwa tu ili wauwaji watarajiwa wajifumze!
 
Mods threads za wanafunzi hawa wachekechea hawa msiziruhusu .....Zina aibisha jukwaa
 
Ukweli ni kuwa Putin atatiwa kitanzi kama yule gaidi wa Iraq. Putin atawajibishwa na mahakama za nchi yake, ni muda tu.

Watu wa magharibi ni watu wa mipango na wanaishi kwenye mipango yao no matter watasubiri kiasi gani.

Walimsubiri gaidi Sadam kwa miaka 20 akanasa. Wakamsubiri gaidi Gadafi toka miaka ya 80 akanasa miaka ya 2000.

Putin ameumiza roho za ukraine zinavuja damu. Lazima atalipa.
Sadam na gaddafi walifanya ugaidi? Acha kuwa mtumwa wa kifikra... hao unaowasifia wameenda kuharibu mataifa ya watu na kuyafanya yasitawalike.

Narudia tena gaddafi na sadam walifanya kitu gn kibaya kuuliwa ? Je Obama, Bush, Tony blair na cameroon ushenzi walioufanya hauoni?
 
Akifikishwa mahakamani utakuwa ni mwanzo wa ajabu nyingine ya dunia hakimu wa kesi hiyo kuhukumiwa mwenyewe.
 
Mwenye namba au mawasiliano yoyote ya "askari wa zanzibar" anipe!ninataka kumpa msaada wa kisaikolojia aachane na mambo yake yale.
 
Back
Top Bottom