Putin asitisha Mashambulizi Syria

Mkuu nakubaliana sana na hoja yako ya kwanza na ya mwisho..ni kweli ametengeneza corridor ya wakimbizi kuingia Ulaya ambako napo moto unawawakia,wao walitegemea wakimbizi wale wangesambaa Middle East tu.. Na pia kweli Assad pale kapata msaada mkubwa wa kijeshi kiasi kwamba ni vigumu sasa EU kuwaza kumuondoa.
 
Kama mabomu tu hiyo nchi imeyameza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…