Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,569
- 8,327
http://www.bbc.com/swahili/habari/2016/01/160101_putin_nato_security_threat?ocid=socialflow_facebook
mbona analialia? kwani amejipangaje!
mbona analialia? kwani amejipangaje!
we kilaza kweli, unafikiri unafikia akili za putin hata robo?http://www.bbc.com/swahili/habari/2016/01/160101_putin_nato_security_threat?ocid=socialflow_facebook
mbona analialia? kwani amejipangaje!
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametia saini karatasi mpya ya sera ya kitaifa kuhusu usalama ambayo inataja mpango wa upanuzi wa shirika la kujihami la Nato kama hatari kwa usalama.mbali na kuielewa , sidhani kama umeisoma hiyo habari.. Naweza kusema umesoma kichwa cha habari na si habari yenyewe.
jifunze kuandika kwanzakama we 0 brain humfikii iyo ni kivyako
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametia saini
karatasi mpya ya sera ya kitaifa kuhusu usalama ambayo inataja mpango wa upanuzi wa shirika la kujihami la Nato kama hatari kwa usalama.
Stakabadhi hiyo inasema “sera huru ya nyumbani na kigeni” ya Urusi imeifanya Marekani na washirika wake kuchukua hatua.
Inayatuhumu mataifa hayo kwa kujaribu kudhibiti masuala muhimu duniani.
Mzozo nchini Ukraine, ulioanza 2014, umeathiri sana uhusiano kati ya Urusi na nchi za Magharibi.
Waraka huo kwa jina Mkakati wa Usalama wa Kitaifa ulitiwa saini na Rais Putin Alhamisi, na ni wa karibuni zaidi katika msururu wa stakabadhi za serikali zinazokosoa shirika la kujihami la nchi za Magharibi la Nato.
Mwaka 2014, Urusi ilitangaza kwamba ingebadilisha sera yake ya kijeshi kuzingatia mzozo wa Ukraine na kuwepo kwa Nato mashariki mwa Ulaya.
Rudia kusoma kisha ndo useme kuwa analialia
Jamani hii ni lugha gani?!kama we 0 brain humfikii iyo ni kivyako
KichinaJamani hii ni lugha gani?!
Kulia lia tena? Kiaje ndugu maana sijaelewa hiyo sentence yako. Hivi polisi wanapokuja kwenye mkusanyiko na kuwatangazia mtawanyike pale wanakua wanalialia auhttp://www.bbc.com/swahili/habari/2016/01/160101_putin_nato_security_threat?ocid=socialflow_facebook
mbona analialia? kwani amejipangaje!