Putin afanya kweli

Hivi daraja la Kigamboni lina urefu kiasi gani wakuu?
 
Huyo ndiyo mwanaume babaa, Mume wa marekana + washirika wake. I wish angekuwa our presii
 
Huku nae magufuli akikamata matenki ya mafuta ya kupikia
 
Ingekua liko hapa tusingelala ni refu kweli...
 
P

Putin angezubaa kidogo sakata la Ukraine Urusi ingepata shida. Aliwaweza magharibi kwa kuirudisha Crimea.
Yupo poa sana huyu rais,hivi ina maana CIA hawaku ng'amua hata kidogo huo mpango wake

warusi wapo kimkakati sana na ndio maana walimshinda Hitler vita vya pili vya dunia
 
Yupo poa sana huyu rais,hivi ina maana CIA hawaku ng'amua hata kidogo huo mpango wake

warusi wapo kimkakati sana na ndio maana walimshinda Hitler vita vya pili vya dunia

walifahamu uwezekano huo isipokuwa inaezekana alimdharau kuwa hataweza kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…