Pussy Riot Protest

Na ndio maana nakuambia kuwa makao makuu Kanisa lao kuu lipo ndani ya Ikulu ya Urusi na ndio Putin na Medivedev wanaposali
 
"Governments including the United States, Britain, France and Germany joined the chorus Friday, denouncing the sentences as disproportionate."

Hizo nchi zina uhuru wa dini, huko dini ni dini na siasa ni siasa. Hawana tabia ya kumix hivyo vitu. Thats why shows nyingi zinapigwa huko.
 
na ukiwauiza warusi wenyewe wanakuambia kwa hii adhabu ni ndogo sana na wanakupa mfano kuwa ingekuwa ni Iran ama middle east kwa ujumla hawa wadada wangnyongwa ama wangeendelea kunywa kahawa?
 
na ukiwauiza warusi wenyewe wanakuambia kwa hii adhabu ni ndogo sana na wanakupa mfano kuwa ingekuwa ni Iran ama middle east kwa ujumla hawa wadada wangnyongwa ama wangeendelea kunywa kahawa?

Dah, au ingekuwa Saudi Arabia, yakhe wangejuuuta.
 
Gaijin nchi kama urusi inaongozwa kibabe sana kwa hiyo sheria zinazofuatwa ni zile wanazozipenda wao na kule haki za binadamu wanajua kabisa kuwa ni zero ukilinganisha na nchi nyinine za europe

Tatizo watu kuonyesha ku-embrace hizo sheria utasema ndio sheria za haki zaidi duniani.

Unaposema"walifanya kosa kubwa kwa hiyo wache wakamalizie siku zao gerezani" ni sawa na kuwa unakubaliana na hizo sheria na unahisi haki imetendeka.

Sheria kandamizi kokote kule duniani, haziondoki kwa watu "kuzikubali" na kuzikalia kimya
 
Dah, au ingekuwa Saudi Arabia, yakhe wangejuuuta.

Ndio maana wale wabibi makomunisti na vibabu vinaona kuwa hiko ki adhabu ni kama vile wamewapa kahawa ya kunywa..prediction ili kuwa wapigwe miaka 15 sema makelele ya watu na kina Madonna hadi walienda moscow nadhani ndio wakaona isiwe issue ngoja tulegeze
 
na ukiwauiza warusi wenyewe wanakuambia kwa hii adhabu ni ndogo sana na wanakupa mfano kuwa ingekuwa ni Iran ama middle east kwa ujumla hawa wadada wangnyongwa ama wangeendelea kunywa kahawa?

Kama nchi nyengine hazitendi haki, hakumaanishi kuwa na Urussi isitende haki.

Kama kujilinganisha kwa nini wasijilinganishe na nchi nyingi ambazo hiyo bendi isingechukuliwa hatua za aina hiyo?
 
Kama nchi nyengine hazitendi haki, hakumaanishi kuwa na Urussi isitende haki.

Kama kujilinganisha kwa nini wasijilinganishe na nchi nyingi ambazo hiyo bendi isingechukuliwa hatua za aina hiyo?

Tangu lini mwamba ngoma akaivutia kwako??
 
Bahati yao. Wangekoma jela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…