Pussy Riot Protest

....Hahahahahah lol! hujasikia wengine wanazipigia push ups? LoL! akionyesha kifua chake tu Pussy/Kitty lazima ishike adabu πŸ™‚πŸ™‚

Nna wasi wasi nae huyu mtu, ubabe hadi kwa Pussy and Kitty!

Kwa dogs and donkeys itakuwaje?!
 
....Hahahahahah lol! hujasikia wengine wanazipigia push ups? LoL! akionyesha kifua chake tu Pussy/Kitty lazima ishike adabu πŸ™‚πŸ™‚

La haula...

huo sasa msiba.

vipaka vya watu vishikishwe adabu, huuuh!

Wapi watetezi wa haki za wanyama?

πŸ˜€
 
...Subiri labda wakiona hii sredi watakuja nao kupigia debe juhudi za kunusuru Pussy/Kitty

La haula...

huo sasa msiba.

vipaka vya watu vishikishwe adabu, huuuh!

Wapi watetezi wa haki za wanyama?

πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…