Kaambiwa nanani?? Hivi udhalilishaji uko hivi au unaongea Usichokijua??? Na huyu je?? View attachment 290424
Huu ni udhalilishaji wa bibi zetu, ukweli ni kwamba kaambiwa afanye hivyo ila hajui lolote kuhuau chadema zaidi ya Nyerere. Muache kuwatumia bibi zetu jamani.Hili swali kama una akili timamu sio la kuuliza.
Ni kama vile vijana wa sasa wanavyonyoa viduku lakini hawajui maana yake vivyohivyo na watumia ishara hiyo hawajui ndo maana sisi tunawaita NYUMBU!mkapa akawaita wapumbavu na malofa.
Kwani hiyo ishara maana yake nini?Ni kama vile vijana wa sasa wanavyonyoa viduku lakini hawajui maana yake vivyohivyo na watumia ishara hiyo hawajui ndo maana sisi tunawaita NYUMBU!mkapa akawaita wapumbavu na malofa.
Hujitambuwi!Ni kama vile vijana wa sasa wanavyonyoa viduku lakini hawajui maana yake vivyohivyo na watumia ishara hiyo hawajui ndo maana sisi tunawaita NYUMBU!mkapa akawaita wapumbavu na malofa.